Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Hip Hop iz dead! Fid Q ni whack, anabebwa tu na kutafsiri mistari ya wana hip hop wa mbele kwa kiswahili.
Kwa hao uliowaweka karata itamuangukia kubanda japokuwa nakili kuwa mchopanga yuko vizuri ila kukaa kimya muda mrefu kunapunguza hadhi yake...! ila kwa bongo wote waandike hakuna mwandishi wa kumzidi NASH MC full stop
1.HASHIMU DOGO huyu ni emcee ambae hajawahi kutokea africa nzima
Na unaona flows nyingi include fid q flow ni zao la hashimu
Ndo emcee pekee ambae akiongea hamung'unyi maneno iwe kingereza ama kiswahili.
Kuna mtu anaitwa FATHER NELLY (M.A.P) Huyu ni KONYO kaZi yake ya nini dhambi ukiisikia leo utadhan kaitoa leo.
Kuna mtu wa kuitwa Prof jay sina haja ya kumuelezea
Kuna mkuu KAMANDA SUGU.
kaz zao hao watu ni kama manabii
Na kwa sasa tusidanganyane
Kuna emcee anatokea TEMEKE anaitwa
NASH EMCEE HUYU ni zaidi ya emcee pale kuna matukio ya kila sku
Kuna bragadocial
Kuna sitiari na tashbiha
Pale kuna harakati
Pale kuna mafunzo ya kutokukata tamaa
NASH EMCEE KWA SASA HAKUNA BONGO NZIMA
KAZI ZAKE ZIKILETWA HAPA HAO FID NA JAY MO HATUTOWASIKILIZA.
Word. Kubanda nyimbo zake nyingi ametafsiri nyimbo za majuu. No originality.Hip Hop iz dead! Fid Q ni whack, anabebwa tu na kutafsiri mistari ya wana hip hop wa mbele kwa kiswahili.
Word. Kubanda nyimbo zake nyingi ametafsiri nyimbo za majuu. No originality.
Juma Mchopanga ni mkali sana katika industry hii. Yupo deep sana huyu jamaa, line zake ni hatari ana think beyond the box ila umekosea kumsimamisha na Kubanda. Hapo ndipo inapotimia ile kauli, "kizuri ni kizuri ila kilicho bora ni bora" Mchopanga yupo vizuri ila kubanda ni bora. Karata yangu inaenda kwa Kubanda pasipo kudumaza wala kufifisha heshima yangu kwa Mchopanga
Nikki Mbishi toka Utamaduni music
Source: Mashairi yake.
Kuna watu hii game wameipigania na jamii imekua haitambui michango yao hasa watoto wa juzi waloujua mziki juz juz