Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 784
- 1,860
Daaah filamu ipi ilikukamatisha?Nilikuwa naziona zina utoto. Lakini siku hizi, nimekamatika
Wanapendwa sana, ila wana drama too much. I hope watazamaji hawafikirii kuwa mapenzi ndiyo kweli yako hivyo.Korean Drama yaani hawa jamaa wanakimbizana na wahindi sana na washawapiku
πππSlow motion kila mda, wakiangaliana ni nusu saa nzima wanaangaliana.
So irritating
Nishawapata wenzangu wawili kwenye replies nao hawapendi πNi wewe peke yako tu mkuu
hahahahaNishawapata wenzangu wawili kwenye replies nao hawapendi
Movie nzima watu wanaangaliana na kulia lia tu, ndo nini sasa?
Queen of tears, ipo netflixDaaah filamu ipi ilikukamatisha?
Jina la filamu yenyewe ni machozi πͺQueen of tears, ipo netflix
Upweke utakutesa kama hauna hela maana hapo utakuwa unahitaji mfarijiπππUpweke unaujua
Upweke unaua
Upweke unauma
Upweke una..
Upweke una..
Shugamami hajui shika moyo anashika mua.-Joh Makini