Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 784
- 1,858
Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani?
Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu.
Mara wanakimbizana kwenye mvua au mmoja anafika mwingine ndo anaondoka, inaonyeshwa slow motion, halafu wanaanza kujiliza tena 😤😤😤.
Aisee, huwa zinanikata sana, najua ni moviee tu, siyo that serious, ila mimi kwangu zimekosa uhalisia kabisa.
Wewe ulishawahi kuona nini kikakukera kwenye hizi film zilizojaa utoto mwingi?