Nani mpumbavu

Mjinga ni namba 1 wenzake wote wana misumeno yeye hana anachofanya lakini kujiondoa hapo kwenye tatizo hawezi.
 
Mpumbavu ni 3.

Namba 1 na 4 ni wanaume. Ngoja watoswe tu.

Kwa nini namba 3 anataka kumtosa demu namba 2. Upumbavu tu.
japo ni wanasiasa tuiongezee nyama kijamii: namba 3 msumeno haujazama (anakata kigeresha tu) 2&4 si wa mchezo mchezo. funzo: 3 anataka kizembe ili 1+4 wadondoke/wapishe msongamano ili yeye (3) abaki na 2 salama
 
Huyo namba nne ndiye ccm au kwa jina lao la kisasa ndiye bashite team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…