Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,172
- 5,532
Naaaje wazee!
Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni.
Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba.
Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young Africans. Timu inacheza kwa kiwango cha hali ya juu. Ni wazi kuwa wapo wachezaji wengi wanafanya vizuri ndani ya Klabu hii.
Ukipewa wasaa umchague mchezaji mmoja kupewa tuzo ya MVP kwa msimu huu utamchagua nani?
Kwangu kwa Wageni ntamchagua Azizi Ki. Kwa wazawa ntampa Mudathir Yahya.
Wewe unamchagua nani na kwanini?