Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,900
10,667
Hebu tujaribu kidogo kuwachambua hawa wababe wawili kisha tujue ikiwa watakutana nani atakuwa zaidi??

Black mamba na King cobra ni moja ya jamii hatari zaidi za nyoka duniani na maarufu hata kimuonekano kutokana na upekee wa maumbo yao.

BLACK MAMBA: Nyoka anayejulikana kwa kuua sana duniani na mwenye kasi zaidi kuliko nyoka wote ardhini.
  • Makabila mbalimbali ya kiafrika yanatumia utambulisho wake kama alama zao na wengine kumuabudu kama mlinzi na mungu wao katika maeneo yao.
  • Ameripotiwa kusababisa vifo vya maelfu ya watu kila mwaka.
  • Wakorofi na wako tayari kung'ata mara nyingi iwezekanavyo pale inapombidi kufanya hivyo kutokana na tishio la adui.
  • Kwa sababu hii wanahesabika kama TOP KILLER kati ya nyoka wote wanaotambaa ardhini. Karibia watu 20,000 kila mwaka wanakufa kwa kugongwa na nyoka huyu.
  • Wanapatikana zaidi hasa Afrika maeneo ya central na east Afrika.
UREFU
-Kwa black mamba aliyekuwa na kukomaa anaweza fikia urefu wa 6.6 - 8.2 feet (2 - 2.5m)

-Urefu wa meno ni 0.25 inches (6.5mm)

SPEED/KASI

-12.5 m/h (20km/h). Mara nyingi hutumia kasi yake kukimbia hatari kuliko kuwindia.

UZITO

-1.6 Kg

MUONEKANO NA RANGI

Black mamba huwa warefu pia wembamba. Wanapatikana kwa rangi ya kijivu au brown mbichi (light brown)

CHAKULA/DIET

• Wanyama wadogo na ndege.
*Imewahi kulipotiwa kukutwa kasuku wazima na hata Cobra wakubwa kwenye tumbo la Black mamba.

ATTACK NA UWINDAJI

- Wanapopata windo husubiri kwanza windo lake kuparalyze au kufa kutokana na sumu aliyowatia kupitia meno yake, ndipo huwa muda mahususi kwa kumla.
-Kawaida huchukua muda mchache sana kwa windo lake kufa baada ya kung'atwa na humeza windo lake kama lilivyo.
- Wana taya laini kujitegua ili kufit chakula mdomoni hata mara 4 ya saizi ya kichwa chake.

TABIA

• Ni wakazi wa eneo moja. Wanatoka asubuhi na baadae tena jioni kwa ajili ya kuwinda ama kupumzika nje kisha kurudi eneo lao.
• Ni waoga lakini hurudisha attack pale inapowalazimu na kukimbilia katika kichaka au shimo .

KING COBRA: Ni kati ya nyoka wakubwa na hatari zaidi duniani. King cobra hupatikana hasa Southeast Asia na India
  • Anapokutana na tishio hutumia ngozi yake karibu na kichwa kuitanua ili kuinekana hatari. Alama nyeusi nyeusi zilizopo katika hood yake hutishia baadhi ya wanyama wakali wanapokuwa karibu nae.
• Anauwezo wa kunyanyua 3/4 ya mwili wake toka ardhini huku kumfuata adui yake kwa lengo moja tu ( kuattack).

UREFU

-10 to 12 feet (3.3m) lakini wengine wanaweza kufikia mpaka 5.4 m.

UZITO

- 6Kg.

RANGI NA MUONEKANO

-King cobra waliokomaa wapo wa rangi nyeusi, light yellow, kijani na brown. King cobra ni mnene kidogo kuliko black mamba.

CHAKULA/DIET

-King cobra wanajulikana kama '' OPHIOPHAGONS" yaani snake eater. Anauwezo wa kula hata nyoka wenzake wenye sumu.
- Mlo pendwa ni pamoja na jamii za panya, mijusi, ndege na hata nyoka wengine kama chatu, cobra, jamii za vipers n.k.
-Mlo unapopatikana vizuri anaweza kukaa hata mwezi kutokana na mmeng'enyo chakula wake wa taratibu.

ATTACK NA UWINDAJI

-Anawinda kwa kutumia kemikali inayogundua haruru ya windo lilipo hata zaidi ya umbali wa mita 100 toka alipo.
- Sumu yake hatari inaweza kumpa paralyze na kumuua kabisa tembo ndani ya masaa 3 tu toka amng'ate iwe mguuni au kwenye mkonga.

TABIA

- Hawana eneo maalumu kuishi.
-King cobra hukutana pale tu wanapotaka ku-mate na jinsia nyingine.
-Wako active muda wote wa siku.
-Hupendelea kukimbia hatari au kuattack anapomlazimika.

====> Nini tofauti yao kubwa endapo mmoja wao atakutana na mwingine?

BLACK MAMBA

A)Hatari ila anatabirika. Yupo tayari kupigana au akimbie kujiokoa
B) Kwa kila ng'ato humuachia adui kiasi cha 55 mg za sumu mwilini.

KING COBRA

A)Hatari na hatabiriki, anajiamini na kuattack kwa mahesabu.
B)Anaacha kiasi kikubwa cha sumu 420 mg; mwilini kwa adui kwa mng'ato mmoja.
C) Imethibitishwa kuwa king cobra ndie nyoka anaetumia akili sana kabla ya kuattack.

HITIMISHO:
~Black mamba akikutana na king cobra; ajitahidi kupigana ashinde au akimbie.

~King cobra akikutana na black mamba; kwanza kakutana na chakula au apigwe na afe.

MSHINDI: King cobra🥇
 
ongezea kwamba black mamba anaweza kusimama kwa robo 3 ya mwili wake na mkaangalia usoni!!
kiukweli ni stori tuu hakuna ukweli wa black mamba kuua kiwango hicho kwa mwaka ni very rare sana black mamba hujiepusha sana na shari sababu anajua hana uwezo wa kukumeza hivyo akiona kiumbe wakubwa hana kazi nao zaidi ya kukimbia!akikuuma ni kwa bahati mbaya alikuwa anajihami tuu.
king kobra ni mbabe zaidi labda ungempambanisha na rock python ndo saizi yake.
 
ongezea kwamba black mamba anaweza kusimama kwa robo 3 ya mwili wake na mkaangalia usoni!!
kiukweli ni stori tuu hakuna ukweli wa black mamba kuua kiwango hicho kwa mwaka ni very rare sana black mamba hujiepusha sana na shari sababu anajua hana uwezo wa kukumeza hivyo akiona kiumbe wakubwa hana kazi nao zaidi ya kukimbia!akikuuma ni kwa bahati mbaya alikuwa anajihami tuu
mwambie huyo anayeongoza ni kifutu ( puffer adder)

Sababu wanapatika maeneo mengi

Wanakaga kimpya.

Nirahisi kuchangamana na watu.
 
Umemsahau nyoka mmoja anapatikana Dodoma, ana kichwa kikubwa kuliko mwili, kichwa hicho pia kimeanza kuota pembe, anaitwa sijui Ndugwai Kama sijakosea
Jf ni jukwaa Huru!
Hivyo kila mtu ana uhuru wa Kuchangia...

Ila sio kwa uchangiaji huu,Mambo mengine tujaribu kuwa watu wazima kidogo.

Mada inamaanisha nini,vipi na wewe unamaanisha nini sasa.
 
Mkuu usije ukajichanganya na black mamba. Hawa sumu yao ni deadly sana! Be careful. Cobra most of the time anatema mate, na mate yake ni hatari zaidi yakikufikia machoni. Ukiwahi kunawa kwa maji mengi na sabuni asilimia za kupona ni kubwa na hautapofuka. Black mamba akikugonga usikawie zaidi ya nusu saa (nadhani ni dakika 20) bila kufika hospitali UTAKUFA! Usione hizo mils 55 ukazidharau, ni hatari sana kuliko 400 za cobra

Nimekuonya!
 
Hebu tujaribu kidogo kuwachambua hawa wababe wawili kisha tujue ikiwa watakutana nani atakuwa zaidi??

Black mamba na King cobra ni moja ya jamii hatari zaidi za nyoka duniani na maarufu hata kimuonekano kutokana na upekee wa maumbo yao.

BLACK MAMBA: Nyoka anaejulikana kwa kuua sana duniani na mwenye kasi zaidi kuliko nyoka wote ardhini.

  • Makabila mbalimbali ya kiafrika yanatumia utambulisho wake kama alama zao na wengine kumuabudu kama mlinzi na mungu wao katika maeneo yao.
  • Ameripotiwa kusababisa vifo vya maelfu ya watu kila mwaka.
  • Wakorofi na wako tayari kung'ata mara nyingi iwezekanavyo pale inapombidi kufanya hivyo kutokana na tishio la adui.
  • Kwa sababu hii wanahesabika kama TOP KILLER kati ya nyoka wote wanaotambaa ardhini. Karibia watu 20,000 kila mwaka wanakufa kwa kugongwa na nyoka huyu.
  • Wanapatikana zaidi hasa Afrika maeneo ya central na east Afrika.
UREFU
-Kwa black mamba aliyekuwa na kukomaa anaweza fikia urefu wa 6.6 - 8.2 feet (2 - 2.5m)

-Urefu wa meno ni 0.25 inches (6.5mm)

SPEED/KASI

-12.5 m/h (20km/h). Mara nyingi hutumia kasi yake kukimbia hatari kuliko kuwindia.

UZITO

-1.6 Kg

MUONEKANO NA RANGI

Black mamba huwa warefu pia wembamba. Wanapatikana kwa rangi ya kijivu au brown mbichi (light brown)

CHAKULA/DIET

• Wanyama wadogo na ndege.
*Imewahi kulipotiwa kukutwa kasuku wazima na hata Cobra wakubwa kwenye tumbo la Black mamba.

ATTACK NA UWINDAJI

- Wanapopata windo husubiri kwanza windo lake kuparalyze au kufa kutokana na sumu aliyowatia kupitia meno yake, ndipo huwa muda mahususi kwa kumla.
-Kawaida huchukua muda mchache sana kwa windo lake kufa baada ya kung'atwa na humeza windo lake kama lilivyo.
- Wana taya laini kujitegua ili kufit chakula mdomoni hata mara 4 ya saizi ya kichwa chake.

TABIA

• Ni wakazi wa eneo moja. Wanatoka asubuhi na baadae tena jioni kwa ajili ya kuwinda ama kupumzika nje kisha kurudi eneo lao.
• Ni waoga lakini hurudisha attack pale inapowalazimu na kukimbilia katika kichaka au shimo .

KING COBRA: Ni kati ya nyoka wakubwa na hatari zaidi duniani. King cobra hupatikana hasa Southeast Asia na India

  • Anapokutana na tishio hutumia ngozi yake karibu na kichwa kuitanua ili kuinekana hatari. Alama nyeusi nyeusi zilizopo katika hood yake hutishia baadhi ya wanyama wakali wanapokuwa karibu nae.
• Anauwezo wa kunyanyua 3/4 ya mwili wake toka ardhini huku kumfuata adui yake kwa lengo moja tu ( kuattack).

UREFU

-10 to 12 feet (3.3m) lakini wengine wanaweza kufikia mpaka 5.4 m.

UZITO

- 6Kg.

RANGI NA MUONEKANO

-King cobra waliokomaa wapo wa rangi nyeusi, light yellow, kijani na brown. King cobra ni mnene kidogo kuliko black mamba.

CHAKULA/DIET

-King cobra wanajulikana kama '' OPHIOPHAGONS" yaani snake eater. Anauwezo wa kula hata nyoka wenzake wenye sumu.
- Mlo pendwa ni pamoja na jamii za panya, mijusi, ndege na hata nyoka wengine kama chatu, cobra, jamii za vipers n.k.
-Mlo unapopatikana vizuri anaweza kukaa hata mwezi kutokana na mmeng'enyo chakula wake wa taratibu.

ATTACK NA UWINDAJI

-Anawinda kwa kutumia kemikali inayogundua haruru ya windo lilipo hata zaidi ya umbali wa mita 100 toka alipo.
- Sumu yake hatari inaweza kumpa paralyze na kumuua kabisa tembo ndani ya masaa 3 tu toka amng'ate iwe mguuni au kwenye mkonga.

TABIA

- Hawana eneo maalumu kuishi.
-King cobra hukutana pale tu wanapotaka ku-mate na jinsia nyingine.
-Wako active muda wote wa siku.
-Hupendelea kukimbia hatari au kuattack anapomlazimika.

====> Nini tofauti yao kubwa endapo mmoja wao atakutana na mwingine?

BLACK MAMBA

A)Hatari ila anatabirika. Yupo tayari kupigana au akimbie kujiokoa
B) Kwa kila ng'ato humuachia adui kiasi cha 55 mg za sumu mwilini.

KING COBRA

A)Hatari na hatabiriki, anajiamini na kuattack kwa mahesabu.
B)Anaacha kiasi kikubwa cha sumu 420 mg; mwilini kwa adui kwa mng'ato mmoja.
C) Imethibitishwa kuwa king cobra ndie nyoka anaetumia akili sana kabla ya kuattack.

HITIMISHO:
~Black mamba akikutana na king cobra; ajitahidi kupigana ashinde au akimbie.

~King cobra akikutana na black mamba; kwanza kakutana na chakula au apigwe na afe.

MSHINDI: King cobra🥇
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
 
Nahisi Cobra ndio balaa.
kwa sumu ambayo inaua haraka black mamba anaongoza!ila kwa ubabe na ukubwa king kobra mkubwa na anaweza kuwala black mamba 2 kwa mpigo..ndio maana akaitwa king kobra sababu ni largest poisonous snake in the world..
ila kwenye sumu kali kuliko wote duniani ni TAIPAN wanapatikana australia..
halafu kuna VINE SNAKE hawa wapo africa ingawa sumu yao haikuui haraka lakini inakuozesha mwili mzima..
 
Mkuu usije ukajichanganya na black mamba. Hawa sumu yao ni deadly sana! Be careful. Cobra most of the time anatema mate, na mate yake ni hatari zaidi yakikufikia machoni. Ukiwahi kunawa kwa maji mengi na sabuni asilimia za kupona ni kubwa na hautapofuka. Black mamba akikugonga usikawie zaidi ya nusu saa (nadhani ni dakika 20) bila kufika hospitali UTAKUFA! Usione hizo mils 55 ukazidharau, ni hatari sana kuliko 400 za cobra

Nimekuonya!
Niliwahi kuwa maeneo flani kijijini nikawa nakaa chini bahati mbaya nilipokuwa nakaa sikuangalia vizuri kumbe na mkalia cobra ,akanikwepa nageuka tunakutana uso kwa uso amevimbisha kichwa akanitemea machoni.

Gafla nilishangaa sioni wakawahi kuninawisha uso na kupaka samli kwenye macho ,macho yalikuwa yanawasha vibaya ,nililala masaa 4 nilipoamka nikawa niko poa tu .

Ila black mambo mziki wake ni mwingine hata machungani akigonga ng'ombe haponi
 
Hebu tujaribu kidogo kuwachambua hawa wababe wawili kisha tujue ikiwa watakutana nani atakuwa zaidi??

Black mamba na King cobra ni moja ya jamii hatari zaidi za nyoka duniani na maarufu hata kimuonekano kutokana na upekee wa maumbo yao.

BLACK MAMBA: Nyoka anaejulikana kwa kuua sana duniani na mwenye kasi zaidi kuliko nyoka wote ardhini.

  • Makabila mbalimbali ya kiafrika yanatumia utambulisho wake kama alama zao na wengine kumuabudu kama mlinzi na mungu wao katika maeneo yao.
  • Ameripotiwa kusababisa vifo vya maelfu ya watu kila mwaka.
  • Wakorofi na wako tayari kung'ata mara nyingi iwezekanavyo pale inapombidi kufanya hivyo kutokana na tishio la adui.
  • Kwa sababu hii wanahesabika kama TOP KILLER kati ya nyoka wote wanaotambaa ardhini. Karibia watu 20,000 kila mwaka wanakufa kwa kugongwa na nyoka huyu.
  • Wanapatikana zaidi hasa Afrika maeneo ya central na east Afrika.
UREFU
-Kwa black mamba aliyekuwa na kukomaa anaweza fikia urefu wa 6.6 - 8.2 feet (2 - 2.5m)

-Urefu wa meno ni 0.25 inches (6.5mm)

SPEED/KASI

-12.5 m/h (20km/h). Mara nyingi hutumia kasi yake kukimbia hatari kuliko kuwindia.

UZITO

-1.6 Kg

MUONEKANO NA RANGI

Black mamba huwa warefu pia wembamba. Wanapatikana kwa rangi ya kijivu au brown mbichi (light brown)

CHAKULA/DIET

• Wanyama wadogo na ndege.
*Imewahi kulipotiwa kukutwa kasuku wazima na hata Cobra wakubwa kwenye tumbo la Black mamba.

ATTACK NA UWINDAJI

- Wanapopata windo husubiri kwanza windo lake kuparalyze au kufa kutokana na sumu aliyowatia kupitia meno yake, ndipo huwa muda mahususi kwa kumla.
-Kawaida huchukua muda mchache sana kwa windo lake kufa baada ya kung'atwa na humeza windo lake kama lilivyo.
- Wana taya laini kujitegua ili kufit chakula mdomoni hata mara 4 ya saizi ya kichwa chake.

TABIA

• Ni wakazi wa eneo moja. Wanatoka asubuhi na baadae tena jioni kwa ajili ya kuwinda ama kupumzika nje kisha kurudi eneo lao.
• Ni waoga lakini hurudisha attack pale inapowalazimu na kukimbilia katika kichaka au shimo .

KING COBRA: Ni kati ya nyoka wakubwa na hatari zaidi duniani. King cobra hupatikana hasa Southeast Asia na India

  • Anapokutana na tishio hutumia ngozi yake karibu na kichwa kuitanua ili kuinekana hatari. Alama nyeusi nyeusi zilizopo katika hood yake hutishia baadhi ya wanyama wakali wanapokuwa karibu nae.
• Anauwezo wa kunyanyua 3/4 ya mwili wake toka ardhini huku kumfuata adui yake kwa lengo moja tu ( kuattack).

UREFU

-10 to 12 feet (3.3m) lakini wengine wanaweza kufikia mpaka 5.4 m.

UZITO

- 6Kg.

RANGI NA MUONEKANO

-King cobra waliokomaa wapo wa rangi nyeusi, light yellow, kijani na brown. King cobra ni mnene kidogo kuliko black mamba.

CHAKULA/DIET

-King cobra wanajulikana kama '' OPHIOPHAGONS" yaani snake eater. Anauwezo wa kula hata nyoka wenzake wenye sumu.
- Mlo pendwa ni pamoja na jamii za panya, mijusi, ndege na hata nyoka wengine kama chatu, cobra, jamii za vipers n.k.
-Mlo unapopatikana vizuri anaweza kukaa hata mwezi kutokana na mmeng'enyo chakula wake wa taratibu.

ATTACK NA UWINDAJI

-Anawinda kwa kutumia kemikali inayogundua haruru ya windo lilipo hata zaidi ya umbali wa mita 100 toka alipo.
- Sumu yake hatari inaweza kumpa paralyze na kumuua kabisa tembo ndani ya masaa 3 tu toka amng'ate iwe mguuni au kwenye mkonga.

TABIA

- Hawana eneo maalumu kuishi.
-King cobra hukutana pale tu wanapotaka ku-mate na jinsia nyingine.
-Wako active muda wote wa siku.
-Hupendelea kukimbia hatari au kuattack anapomlazimika.

====> Nini tofauti yao kubwa endapo mmoja wao atakutana na mwingine?

BLACK MAMBA

A)Hatari ila anatabirika. Yupo tayari kupigana au akimbie kujiokoa
B) Kwa kila ng'ato humuachia adui kiasi cha 55 mg za sumu mwilini.

KING COBRA

A)Hatari na hatabiriki, anajiamini na kuattack kwa mahesabu.
B)Anaacha kiasi kikubwa cha sumu 420 mg; mwilini kwa adui kwa mng'ato mmoja.
C) Imethibitishwa kuwa king cobra ndie nyoka anaetumia akili sana kabla ya kuattack.

HITIMISHO:
~Black mamba akikutana na king cobra; ajitahidi kupigana ashinde au akimbie.

~King cobra akikutana na black mamba; kwanza kakutana na chakula au apigwe na afe.

MSHINDI: King cobra
Masahihisho: black mamba aweza kufikia uefi wa futi 14
Kwa kuongezea: black mamba anaitwa hivyo si kwa rangi ya mwili, bali rangi ya kinywani ambako ni kweusi
 
na huyu ni aina gani ya nyoka
IMG_20210513_115325.jpg
IMG_20210513_114943.jpg
 
Mkuu wote hao hawana lolote mbele ya kuku
 
Niliwahi kuwa maeneo flani kijijini nikawa nakaa chini bahati mbaya nilipokuwa nakaa sikuangalia vizuri kumbe na mkalia cobra ,akanikwepa nageuka tunakutana uso kwa uso amevimbisha kichwa akanitemea machoni.

Gafla nilishangaa sioni wakawahi kuninawisha uso na kupaka samli kwenye macho ,macho yalikuwa yanawasha vibaya ,nililala masaa 4 nilipoamka nikawa niko poa tu .

Ila black mambo mziki wake ni mwingine hata machungani akigonga ng'ombe haponi
cobra wanaopatikana africa(native africa)ni mozambique spitting pia kuna forest cobra ambae anakuwa mkubwa wa aina zote za cobra waliopo africa!
KING COBRA anapatikana asia haswa india
 
Back
Top Bottom