Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,088
3,128
Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na ajenda ya kutambua mchango wa Rais John Magufuli aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo Machi 17, 2021,Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa António Guterres alisema Magufuli atakumbukwa kwa kuipeleka Tanzania kufikia uchumi wa kati miaka minne kabla ya kufikia 2025.

Hayati Rais John Magufuli atakumbukwa pia kwa mchango wake katika kurejesha maadili ya utumishi wa umma,kupambana na rushwa, ujenzi wa miundombinu na mapinduzi ya viwanda ambayo ndio yameipeleka Tanzania kufikia nchi ya watu wenye kipato cha kati miaka minne kabla ya kufikia 2025,ilikuwa ni heshima kubwa kwa Tanzania kupewa heshima na Umoja wa Mataifa,tukirudi kwenye rekodi za Taifa letu kiuchumi hadi kufikia April 2021 deni la Taifa lilikuwa sh 60.9 trilioni,ikilinganishwa na sh 55.5 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2020,kati ya kiasi hicho deni la nje lilikuwa ni sh 43.7 trilioni na deni la ndani lilikuwa sh 17.3 trilioni,kufikia June 2023 deni la taifa limefikia sh 82.25 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka sh 71.31 trilioni kwa mwaka 2022,deni la ndani lilikuwa sh 28.92 trilioni na deni la nje lilikuwa sh 53.32 trilioni mwaka 2022,kwa miaka mitatu sh trilioni 21.35 zimekopwa toka 2021 hadi 2023,ikilinganishwa na sh 19 trilioni zilizokopwa toka 2016 hadi 2020 na Serikali ya awamu ya tano.

-Rekodi za Hayati Rais John Magufuli

Kwa mujibu wa hotuba ya bajeti ya mwaka 2016,deni la taifa lilikuwa ni shilingi trilioni 40.Kutoka mwaka 2016 hadi 2020 deni la taifa likafikia sh 59 trilioni sawa,kwa miaka mitano ongezeko lilikuwa ni sh 19 trilioni, Tarehe 1 July 2020 IMF ilisema Tanzania joins middle economy status na Magazeti ya kiingereza nchini yakaandika Magufuli sends Tanzania to middle economy status ahead of it's schedule,Hii ni record ambayo inamhitaji someone wiser to break it,kwa rekodi hii Hayati Rais John Pombe Magufuli ataendea kuwa measuring stick kwa vitu mbalimbali kiuchumi na kijamii hadi rekodi yake itakapovunjwa na mtu makini zaidi yake,kwa nini nasema hivyo,muda uliopangwa wa Tanzania kuingia uchumi wa kati ulikuwa ni mwaka 2025 lakini Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati miaka mitano nyuma ya muda uliotarajiwa na benki ya dunia.

-Upatikanaji wa Dola ya kimarekani katika benki nchini Tanzania.

Hayati Rais Magufuli alifanikiwa kuifanya fedha ya kigeni ipite katika mfumo rasmi wa kibenki,tuliona ukuta wa Mererani ukijengwa Tanzanite na dhahabu zikauzwa kwenye mfumo rasmi na fedha za kigeni zikapita bank,tuliona mifumo rasmi ya Serikali ikifanya kazi vizuri kukusanya fedha za kigeni kutokana na mauzo ya nje,mifumo isiyo rasmi ilipotaka kupandisha juu rate ya dola ya kimarekani,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliingilia na kuzifunga Bureau zote na dola zikarudi tena bank,Wazambia,Wakongo,Malawi wote walileta pesa zao bank,Transfer za bank zilifanyika ila hivi leo mteja lazime alete dola zake aweke kwenye account yake benki ndio Transfer ifanyike kwenda kununua mzigo China,

Leo Transfer za fedha hazifanyiki benki kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita,kwa sababu dola haipo tena kwenye mfumo rasmi wa kibenki,wateja Sasa hawaleti pesa benki labda wanakaa nazo nyumbani ili ikitokea dola ya bei nafuu waweze kuinunua kwa urahisi au wengine wanapeleka hela zao sailenti osheni Ili transfer iweze kufanyika kwenda China,mizunguko ya kifedha katika bank sasa imepungua,hili lisingewezekana kwa Hayati Rais Magufuli kwa sababu alifunga Bureau na kuruhusu Dola iuzwe na bank tu.Hivi leo Dola imepanda bei mtaani 2820 kuinunua na kuagiza mzigo ni hasara kubwa sana,kwa sababu bidhaa hazijapanda bei yaani muuzaji anaumia, aliponunua Dola 1 kwa 2550 kuagiza chupa ndogo za maji aliuza chupa moja kwa sh 5,000 hivi leo ananunua Dola 1 kwa sh 2820 bado anauza chupa moja ya maji kwa shilingi hiyo hiyo 5,000 ni hasara kubwa.

-Nini kifanyike!?

Uamuzi mgumu ni kurudi kwenye sera ya Hayati Rais John Pombe Magufuli,pengine sheria za kufungia bureau zilionekana ni sheria kandamizi kwenye soko huria ambapo Benki kuu inapaswa kuzifuata lakini sera hiyo iliyoonekana kandamizi iliwezesha transfer za Benki kufanyika kwa urahisi,hivi ukienda Benki kutuma Dola China wao wanakushauri kwa nini usitume RMB (yuan) yaani wao ndio wanakuchagulia currency ya kutuma,hili lisingewezekana kutokea wakati wa Hayati Rais Magufuli,tuchukulie ni sawa Pesa yoyote Duniani ikiwa Dollars au Tsh ukiipata kwa njia za halali inakuwa mali yako na sio mali ya Benki Kuu,kama free markets is the official policy of the land,basi tutakuwa tumeanza kufuats sera za Marekani to manage the economy through interest rate manipulations,na kama BoT, wanatakiwa wafuate hiyo Sheria,basi Sheria za kiuchumi zitakuwa zinairudisha nyuma nchi yetu kiuchumi,

-Political Intervention Vs Government Intervention

Kwa sasa tunahitaji vitu viwili viingilie kati,ama tumefika hapa kwa sababu ya vitu hivyo viwili hapo juu,kwenye soko huria haiwezi kumlazimisha mtu kuuza ipendavyo Serikali,mtu anauza atakavyo lakini kuna kiasi,tunapofika sehemu tunaelekea kubaya tunahitaji labda Political Intervention au Government Intervention ili kuokoa jahazi,Hayati Rais Magufuli alifanya Government Intervention na impact ilionekana bank transfers zikawa zinakwenda nje ya nchi kwa sababu bank ilikusanya dola za kutosha kwa sababu bank ndio sehemu pekee ilipopita Dola lakini watu wa bureau inasemekana walilalamika sana labda walifungwa na wengine walichukuliwa vifaa vyao vya bureau na fedha zao,hivi sasa bureau zimerudi na Transfer haziendi China kwa sababu bank hazina Dola,hili limesababishwa na bureau kukusanya Dola nyingi mtaani Pengine na black market iliyoshamiri mtaani, tufanye nini hapa tulipofika!!??

Nimalizie kwa nukuu ya mwakilishi kutoka Ulaya Magharibi aliyesema "Rais Magufuli alikuwa kiongozi aliyejitoa kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo na kwamba juhudi zake zilitambulika kwa kiwango kikubwa kupitia sekta ya elimu na miundombinu"kutambuliwa kwa Magufuli katika ulingo huo wa kimataifa kulijiri wakati huo ambapo alama zake zilikuwa zinajadiliwa mitaani ikiwemo katika bunge ambapo kunao wanaotaka yote aliyoyaanzisha yasibadilishwe ilhali wengine walikuwa na maoni tofauti kuhusu mwelekeo Mpya wa Taifa la Tanzania,miaka mitatu baada ya kuondoka Hayati Rais John Pombe Magufuli,leo tunaona mwelekeo wa Taifa la Tanzania.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Katika_Historia:%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hakuu...jpg
 
Andiko lote limejaa sifa kwa mwendazake, unaonekana ni mnazi wa mwendazake. Btw aliondoa sera ya ukweli na uwazi pia kuweka sheria za takwimu mpya ili mambo yake ayafanyie gizani kama kukuzia uchumi gizani na kupika takwimu ili aonekane shujaa lakini ni yeye aliyevuruga economic system ya nchi hii mpaka sasa tunahangaika kurestore na haya matatizo tunayoyaona sasa ni effects za uharibifu wake.
 
Tarehe 1 July 2020 IMF ilisema Tanzania joins middle economy status na Magazeti ikiwemo Citizens yakaandika Magufuli sends Tanzania to middle economy status ahead of it's schedule,Hii ni record ambayo inamhitaji someone wiser to break it,hivyo basi Hayati Rais John Pombe Magufuli ataendea kuwa measuring stick kwa vitu mbalimbali kiuchumi na kijamii.
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Vilaza walojaa humu , UPINZANI maandazi, Vijana wa January Makamba, ongezea na wa Kinana, na Wa Msoga, na Wa Silent Ocean , Vijana wezi wa Halmashauri walioko humu JF, Vijana janja janja walojaa humu , Wafanya madeals haramu..

HAWA WATAKATAAA HUU UKWELI AMBAO NI WA KISAYANSI.
 
Last week nilienda benki kubwa iliyokuwa inaongozwa na mchaga fulani eti Dola 300 upeleke ombi siku tatu kabla.

Hayati alikuwa sahihi sana, kuhusiana na maduka ya kubadilisha pesa wakamuona dikteka, ona sasa leo.
 
Tarehe 1 July 2020 IMF ilisema Tanzania joins middle economy status na Magazeti ikiwemo Citizens yakaandika Magufuli sends Tanzania to middle economy status ahead of it's schedule,Hii ni record ambayo inamhitaji someone wiser to break it,hivyo basi Hayati Rais John Pombe Magufuli ataendea kuwa measuring stick kwa vitu mbalimbali kiuchumi na kijamii.
Huwezi kuitoa nchi toka uchumi duni mpaka wa kati kwa miaka mitano,muwe mnaacha ujinga,mpango wa kufikia uchumi wa kati uliwekwa na hayati mkapa,huyo magu wenu kakuta gari linaserereka tu
 
Last week nilienda benki kubwa iliyokuwa inaongozwa na mchaga fulani eti Dola 300 upeleke ombi siku tatu kabla.

Hayati alikuwa sahihi sana, kuhusiana na maduka ya kubadilisha pesa wakamuona dikteka, ona sasa leo.
Suala la dola ni global
 
Andiko lote limejaa sifa kwa mwendazake, unaonekana ni mnazi wa mwendazake. Btw aliondoa sera ya ukweli na uwazi pia kuweka sheria za takwimu mpya ili mambo yake ayafanyie gizani kama kukuzia uchumi gizani na kupika takwimu ili aonekane shujaa lakini ni yeye aliyevuruga economic system ya nchi hii mpaka sasa tunahangaika kurestore na haya matatizo tunayoyaona sasa ni effects za uharibifu wake.
Pambana na andiko,usipambane na aliye andika.
 
Siku zake za mwishoni akiwa pale mbezi alipolalamikiwa suala la bei ya 500 kwenye choo cha stand akasema “ Kama hutaki kutoa 500 baki na mavi yako”...😜🤣
 
Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na ajenda ya kutambua mchango wa Rais John Magufuli aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo Machi 17, 2021,Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa António Guterres alisema Magufuli atakumbukwa kwa kuipeleka Tanzania kufikia uchumi wa kati miaka minne kabla ya kufikia 2025.

Hayati Rais John Magufuli atakumbukwa pia kwa mchango wake katika kurejesha maadili ya utumishi wa umma,kupambana na rushwa, ujenzi wa miundombinu na mapinduzi ya viwanda ambayo ndio yameipeleka Tanzania kufikia nchi ya watu wenye kipato cha kati miaka minne kabla ya kufikia 2025,ilikuwa ni heshima kubwa kwa Tanzania kupewa heshima na Umoja wa Mataifa,tukirudi kwenye rekodi za Taifa letu kiuchumi hadi kufikia April 2021 deni la Taifa lilikuwa sh 60.9 trilioni,ikilinganishwa na sh 55.5 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2020,kati ya kiasi hicho deni la nje lilikuwa ni sh 43.7 trilioni na deni la ndani lilikuwa sh 17.3 trilioni,kufikia June 2023 deni la taifa limefikia sh 82.25 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka sh 71.31 trilioni kwa mwaka 2022,deni la ndani lilikuwa sh 28.92 trilioni na deni la nje lilikuwa sh 53.32 trilioni mwaka 2022,kwa miaka mitatu sh trilioni 21.35 zimekopwa toka 2021 hadi 2023,ikilinganishwa na sh 19 trilioni zilizokopwa toka 2016 hadi 2020 na Serikali ya awamu ya tano.

-Rekodi za Hayati Rais John Magufuli

Kwa mujibu wa hotuba ya bajeti ya mwaka 2016,deni la taifa lilikuwa ni shilingi trilioni 40.Kutoka mwaka 2016 hadi 2020 deni la taifa likafikia sh 59 trilioni sawa,kwa miaka mitano ongezeko lilikuwa ni sh 19 trilioni, Tarehe 1 July 2020 IMF ilisema Tanzania joins middle economy status na Magazeti ya kiingereza nchini yakaandika Magufuli sends Tanzania to middle economy status ahead of it's schedule,Hii ni record ambayo inamhitaji someone wiser to break it,kwa rekodi hii Hayati Rais John Pombe Magufuli ataendea kuwa measuring stick kwa vitu mbalimbali kiuchumi na kijamii hadi rekodi yake itakapovunjwa na mtu makini zaidi yake,kwa nini nasema hivyo,muda uliopangwa wa Tanzania kuingia uchumi wa kati ulikuwa ni mwaka 2025 lakini Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati miaka mitano nyuma ya muda uliotarajiwa na benki ya dunia.

-Upatikanaji wa Dola ya kimarekani katika benki nchini Tanzania.

Hayati Rais Magufuli alifanikiwa kuifanya fedha ya kigeni ipite katika mfumo rasmi wa kibenki,tuliona ukuta wa Mererani ukijengwa Tanzanite na dhahabu zikauzwa kwenye mfumo rasmi na fedha za kigeni zikapita bank,tuliona mifumo rasmi ya Serikali ikifanya kazi vizuri kukusanya fedha za kigeni kutokana na mauzo ya nje,mifumo isiyo rasmi ilipotaka kupandisha juu rate ya dola ya kimarekani,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliingilia na kuzifunga Bureau zote na dola zikarudi tena bank,Wazambia,Wakongo,Malawi wote walileta pesa zao bank,Transfer za bank zilifanyika ila hivi leo mteja lazime alete dola zake aweke kwenye account yake benki ndio Transfer ifanyike kwenda kununua mzigo China,

Leo Transfer za fedha hazifanyiki benki kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita,kwa sababu dola haipo tena kwenye mfumo rasmi wa kibenki,wateja Sasa hawaleti pesa benki labda wanakaa nazo nyumbani ili ikitokea dola ya bei nafuu waweze kuinunua kwa urahisi au wengine wanapeleka hela zao sailenti osheni Ili transfer iweze kufanyika kwenda China,mizunguko ya kifedha katika bank sasa imepungua,hili lisingewezekana kwa Hayati Rais Magufuli kwa sababu alifunga Bureau na kuruhusu Dola iuzwe na bank tu.Hivi leo Dola imepanda bei mtaani 2820 kuinunua na kuagiza mzigo ni hasara kubwa sana,kwa sababu bidhaa hazijapanda bei yaani muuzaji anaumia, aliponunua Dola 1 kwa 2550 kuagiza chupa ndogo za maji aliuza chupa moja kwa sh 5,000 hivi leo ananunua Dola 1 kwa sh 2820 bado anauza chupa moja ya maji kwa shilingi hiyo hiyo 5,000 ni hasara kubwa.

-Nini kifanyike!?

Uamuzi mgumu ni kurudi kwenye sera ya Hayati Rais John Pombe Magufuli,pengine sheria za kufungia bureau zilionekana ni sheria kandamizi kwenye soko huria ambapo Benki kuu inapaswa kuzifuata lakini sera hiyo iliyoonekana kandamizi iliwezesha transfer za Benki kufanyika kwa urahisi,hivi ukienda Benki kutuma Dola China wao wanakushauri kwa nini usitume RMB (yuan) yaani wao ndio wanakuchagulia currency ya kutuma,hili lisingewezekana kutokea wakati wa Hayati Rais Magufuli,tuchukulie ni sawa Pesa yoyote Duniani ikiwa Dollars au Tsh ukiipata kwa njia za halali inakuwa mali yako na sio mali ya Benki Kuu,kama free markets is the official policy of the land,basi tutakuwa tumeanza kufuats sera za Marekani to manage the economy through interest rate manipulations,na kama BoT, wanatakiwa wafuate hiyo Sheria,basi Sheria za kiuchumi zitakuwa zinairudisha nyuma nchi yetu kiuchumi,

-Political Intervention Vs Government Intervention

Kwa sasa tunahitaji vitu viwili viingilie kati,ama tumefika hapa kwa sababu ya vitu hivyo viwili hapo juu,kwenye soko huria haiwezi kumlazimisha mtu kuuza ipendavyo Serikali,mtu anauza atakavyo lakini kuna kiasi,tunapofika sehemu tunaelekea kubaya tunahitaji labda Political Intervention au Government Intervention ili kuokoa jahazi,Hayati Rais Magufuli alifanya Government Intervention na impact ilionekana bank transfers zikawa zinakwenda nje ya nchi kwa sababu bank ilikusanya dola za kutosha kwa sababu bank ndio sehemu pekee ilipopita Dola lakini watu wa bureau inasemekana walilalamika sana labda walifungwa na wengine walichukuliwa vifaa vyao vya bureau na fedha zao,hivi sasa bureau zimerudi na Transfer haziendi China kwa sababu bank hazina Dola,hili limesababishwa na bureau kukusanya Dola nyingi mtaani Pengine na black market iliyoshamiri mtaani, tufanye nini hapa tulipofika!!??

Nimalizie kwa nukuu ya mwakilishi kutoka Ulaya Magharibi aliyesema "Rais Magufuli alikuwa kiongozi aliyejitoa kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo na kwamba juhudi zake zilitambulika kwa kiwango kikubwa kupitia sekta ya elimu na miundombinu"kutambuliwa kwa Magufuli katika ulingo huo wa kimataifa kulijiri wakati huo ambapo alama zake zilikuwa zinajadiliwa mitaani ikiwemo katika bunge ambapo kunao wanaotaka yote aliyoyaanzisha yasibadilishwe ilhali wengine walikuwa na maoni tofauti kuhusu mwelekeo Mpya wa Taifa la Tanzania,miaka mitatu baada ya kuondoka Hayati Rais John Pombe Magufuli,leo tunaona mwelekeo wa Taifa la Tanzania.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Hakuna Cha maana ulichoandika 😂😂

Kwa Sasa Tunazungumzia real term economy kutoka GDP ya $70bln Hadi GDP ya $80bln ndani ya miaka 3 tuu.

Mengine ni blaa blaa zisizo na msingi
 
Awamu ya sita itaivunja maana naona wale waliosaidia uchumi kupanda wote wamerudishwa wa enzi za magu. Labda wapya akina mchechu, Dk Mwamba hawa ndio wapya
 
Back
Top Bottom