ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,414
- 4,934
Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi.
Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum.
Nani ana uwezo mkubwa kuliko mwenzake. Hatumuongelei Chama Bali ni Feisal dhidi ya Max.
Toeni maoni tumalize hii inshu.