m-boy
Senior Member
- Aug 20, 2023
- 147
- 479
Habari wana zengo,
Ninatumai tupo salama tunaendelea vizuli.
Ukiwambiwa ukubwa jalala ndio hii sasa. Hapa nina kesi mbili kubwa.
Mzee juma alikuwa na mke na wakabatika kuzaa watoto 5 baadae wakaja achana, mzee juma na mkewe walikuwa wanafanya kazi selikarini.
Baada ya miaka mingi kupita mzee juma, akaoa mwanamke mwingine.
Yule mke wa kwanza ambae alitalikiana nae akafariki, mzee juma itabidi awachukue watoto 2 kwa maana mtoto mmoja familia ya upande wa kike walikataa kumpeleka kwa baba yake na watoto 2 walikuwa washakuwa watu wazima.
Baada ya mzee juma kuoa tena akabahatika kuzaa watoto 3.
Mzee juma akanunua eneo na akawa anajenga, kipindi hiki mzee juma, alikuwa anaishi mkoa mwingine na kule kwa wazazi wa mwanamke wake wa mwanzo.
Wakati mzee Juma anajenga nyumba yake akawa amepungukiwa kiasi fulani cha pesa, akaenda kwa mtoto wake wa kwanza kukopa pesa kwa maana hawa watoto walikuwa wamepata mirathi ya pesa kutoka kwa mama yao, mtoto yule akamwambia baba yake pesa pesa hii nia ya fulani na fulani yaani nia ya watoto 2, wadogo ambao anakaa nao pale kwake, na pesa hii ni kwa ajili ya kuwanunulia kiwanja mzee Juma akasema mimi nitawanunulia nipatie.
Mzee Juma akapewa pesa na kwenda kumalizia wa nyumba yake, baada ya miaka kadhaa mzee juma akanunua kiwanja kimoja na mapatano ni viwanja 2.
Maisha yakasonga mzee juma akaachana tena na yule mwanamke.
Baadae akaowa mwanamke mwingine na akapata watoto 2 tena akiwa amestaafu.
Yule mwanamke akamshawishi mzee juma aandike mali zote kwa jina lake kwa maana yeye ameshazeeka mzee juma akaandika urithi wate kwa jina la mwanamke, baada ya hapo akaupeleka mahakamani.
Mahakama ikamwambia hatuwezi kuupokea mpka uwe na sahihi ya viongozi wa selikali za mtaa au kwenyekiti lkn pia uwe na sahihi ya viongozi wa dini.
Mzee Juma akaenda kwa kiongozi wa dini ili asaini yule kiongozi wa dini anaijua ile familia vizuli sanaaaa, akamwambia njoo siku nyingine.
Yule kiongozi akawafuata watoto wa kwanza akawaambia kila kitu.
Sasa wale watoto wa kwanza wamenipigia simu niende kwa mzee juma nikamwambie ya kwamba kama ameamua kumrithisha mkewe mali afanye vitu 2.
Jambo la kwanza alipe kile kiwanja cha ambacho alikopa pesa ya viwanja 2 amenunua kimoja bado kimoja.
Jambo la pili ile nyumba aliojenga na yule mwanamke wa kati ambae alizaa nae watoto 3,asiiyandike kwenye mirathi kwa sababu haimuhusu yule mwanamke wa sasa.
Yule mwanamke wake wa sasa mimi ninamjua vizuli sana ni mkorofi hatari na ninawezake kwenda kumweleza hili?
KWA KUWA BADO TUNA MUDA NINAOMBA NIIWAKILISHE NA HII
Mwaka 2006 nikiwa mkoa x nilipigiwa cm na mtu mmoja ambae tunaheshimiana sana akaniambia mdogo wake ambae anaitwa sindi amemaliza kidato nne amepata ufaulu sio mzuli sana hivyo ni vema asomee unes ,mm ninakubali kwa,maana mkoa niliokuwa ninakaa kuna hospitali kubwa , na chuo cha unes,
Nikaenda kumjazia kila kitu na baada ya muda majibu yakawa mazuli,,familia ikasema hii kazi haina mshara mzuli hivyo asiende bint akabaki home kama miezi 6,
Baadae akaja pelekwa kwenye chuo fulani akasoma huko miaka 2 , sasa kile chuo ni cha selikali kwa hiyo kuna makampuni huwa wanakuja kuangalia wanafunzi walifanya vizuli wanawachukua.
Kipindi sindi anasoma,alikuwa anakaa kwa kaka yale ambae wa tumbo moja ila huyo laka yake alikuwa hana mke.
Baadae sindi aka pata kazi nzuli anapokea karibia 1.5 kwa mwezi.
Alipopata kazi kama mwaka hivi kuna makampuni ya kukopesha yakaja kazini sindi akashauliana na kaka yake akachukua pesa maka milino 20 , akanunua bajaji za mkononi 3 milioni kama 6 akampa kaka yake ambae alikuwa na ofic mitaa fulani na ndio ilikuwa inamsomesha sindi nk, pesa nyingine akaenda kufanya ukarabati kwenye nyumba ya dada yake ambae ndio aliomlea na kumsomesha mpka 4m 4 lkn baada ya mwaka kila kitu kikawa kimekwisha sindi akabaki kulipa deni, mwisho wa siku hata kaka yake pia mambo yakamuendea kombo kwamaana sindi alikwenda kukaa kwake yaani alipanga sehemu nyingine.
Baada ya kuona kaka yake mambo hayaendi akamwambia njoo ukae huku rudisha hicho chumba jamaa akaamia kwa dada yake.
Mwezi wa 3 mwaka huu 2024 kaka sindi alipigia cm kwamba kama kuna dalali ninamfahamu nimwambie yeye anataka ahame pale, lkn pia akaniambia na sindi anahama pia baada ya siku 3 nikampigia sindi kulikoni akasema pale kodi imeongezwa nikamwambia broo alikuwa analipia kodi hapo akasema hapana nikamwambia kwnn usimwambie broo ile kodi iliongezeka alipe yeye ili asiende kupanga sehemu nyingine na ww ubaki na kodi ile ile, akasema sawa.
Kesho yake itabidi nimwambie broo nimeongea na sind kuhusu hili wakanielewa kodi ikalipwa ,sasa baada ya siku mbili nikampigia sindi kumuuliza kuhusu kipato na matumizi kwnn hajengi ndio akaniambia kuhus mikopo ambayo hapo awali mm nilikuwa wala siifahamu lkn mwisho akaniambia alitaka kuhama pale kwa sababu broo analeta wanawake ndani na mbaya zaid analeta wanawake tofaui tofauti mbya zaid, anakuja lao mchana na sindi anakaa na watoto kila kinachofanyika ndani wanasikia ilibidi nikae kimya kwa maana ni nani wa kwenda kumwambia hili broo??
Ninaanzaje kwa mfano kumwambia eti usilete wanawake pale??
KIUKWELI HIZI KESI MBILI ZILIZOPO MKONONI MWANGU ZI NANI ATAENDA KUMFUNGA PAKA KENGELE?