Argentina akicheza katika uwanja wake wa Estadio La Bombonera jijini Buenos Aires amekubali kipigo cha goli 2 bila majibu kutoka kwa mtani wake wa jadi Uruguay katika Derby ya kusisimua.
Argentina na golikipa wake Emiliano Martinez walikuwa hawajaruhusu goli lolote katika mechi nane walizocheza baada ya mechi ya fainali ya kombe la Dubai dhidi ya ufaransa na ni kipigo cha kwanza tangu wafungwe na Saudi Arabia Kwenye kombe la dunia.
Magoli ya Ronald Araujo mwenye nywele nyeupe Kama Pacome na Darwin Nunez yalitosha kuizamisha meli ya Argentina akiwa nyumbani mbele ya umati wa mashabiki wake.
Leonel Messi katika muda tofauti wa mchezo alisababisha kosa kosa kadhaa za kusawazisha.
Jumanne ijayo ni derby nyingine Argentina na bingwa wa kihistoria Brazil.