Nani anamuelewa Dkt. Charles Msonde?

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,030
12,760
Dkt. Charles Msonde ni Naibu Katibu mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Elimu.

Kabla ya kushikilia nafasi hiyo Dkt. Msonde alikuwa katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani .

Tangu aondoke NECTA na kwenda kushika nafasi aliyonayo Dkt. Msonde ni Kama amechanganyikiwa. Amekuwa akizunguka kwenye halmashaur na kupiga porojo tu.

Dkt. Msonde pia emekuwa akishinda Kanda ya Ziwa kila mara. Lakini pia huko kwenye halmashaur amekuwa akiitisha vikao na walimu bila sababu za msingi.
 
Dah!Kwa hiyo mnadhani ana changamoto kwenye mutwe au anapokea maagizo awapange?Mvumiliane naye.Ni miondoko ya maisha.
 
Nadhani ungetoa mwongozo wako sasa nini kifanyike!

afukuzwe ili uchukue nafasi wewe mwenye vision kali kuelekea Tanzania yenye Uchumi imara?
 
Back
Top Bottom