ikiwa imefikia Ukingoni mwa michuano ya ligi kuu mbalimbali duniani,
Weka mtazamo wako hapa nani unaona anafaa kuwa mchezaji bora wa ligi usika tajwa hapo ;
1:ligi kuu Tanzania bara(Vpl)
2:ligi kuu Uingereza (Epl)
3:ligi kuu Hispania (Laliga)
Chambua bila kusahau picha kunogesha maelezo kwenye Uzi wako nani unamuona anafaa.