ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 69,106
- 77,412
Hii Hoteli ilikuwa Maarufu sana awamu ya 4 Kwa kufanyika Kwa Biashara ya mikutano,seminar na kutumiwa na Watalii Matajiri na Marais mbalimbali Kwa kushirikiana na AICC.(Almaarufu Hoteli ya Semina elekezi).
Lakini tokea hapo hakuna kinachoendelea na inasemekana imebakia Magofu Kwa mujibu wa Muongoza Watalii aliyehojiwa na Clouds.
Aidha ningependa kufahamu mmiliki wa Hoteli,Je ni Serikali au mtu binafsi? Na kama ni Serikali Kuna tatizo gani Hadi ife? Kwa nini isikodishwe Kwa wawekezaji ikizingatiwa Kuna kumiminika.kwa Watalii awamu hii ya 6?
Mwisho,ni nani au nini kimepelekea Hoteli hii ya Kifahari kufa kifo Cha Mende?
View: https://www.instagram.com/p/CxMs9vas0Sz/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Pia som hapa 👇
www.jamiiforums.com

Hoteli maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa
Hoteli maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa na Benki ya Exim (T) Limited. Hoteli hizo ambazo zinamilikiwa na wafanyabiashara kadhaa nchini, ambapo Mkurugenzi wake Mkuu, Melau Mrema alifariki mwaka 2017 zinauzwa na kampuni ya uwakili ya Locus...