Juzi nilikuwa natembea maeneo ya njiro arusha nikaona kile kiwanda chetu cha Matairi ya magari kimeota majani na hakuna uzalishaji tena.. Najiuliza nini na ninani hasa aliyepelekea kufaa kwa kiwanda chetu hiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.