johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,983
- 170,047
Ikumbukwe hata mpigania Uhuru na baba wa taifa Mwalimu Nyerere ametokea kabila dogo la wazanaki kwa akina Genta🤣
Mchungaji Mtikila alitokea Upangwani huko porini kabisa
Ni kama namuona Mchungaji Mtikila mwingine akiibuka baada ya Miaka 10
Je, ni Lucas Mwashambwa au mdude Nyagali? 😀
Muda utaongea
Baadae Mlale Unono 😀