ShikamooPoa hujambo?
Marhaba...mbona ulipoteaga sana ulifichwa wapiShikamoo
Ww c ulinikataaMarhaba...mbona ulipoteaga sana ulifichwa wapi
Hahahaa unanichumia dhambi....sikataagi wanaume mimiWw c ulinikataa
Aspirin aliharibu penzi letuHahahaa unanichumia dhambi....sikataagi wanaume mimi
Keshajizeekea sasa hivi najuuta kukukimbiaAspirin aliharibu penzi letu
HeheheheKeshajizeekea sasa hivi najuuta kukukimbia
Unanicheka sio?Hehehehe
Leo ndio unammuona mzeeeUnanicheka sio?
Mzee tangu zamani nilikuwa navumilia tuLeo ndio unammuona mzeee
hahaaaaa, acha tu bruhhViavatar vyenyewe very small lkn kumbe kuna watu wanavifuatilia na kuvizoom
Kweli tunatofautiana...mimi nilikuwa nataka nimuombe ai-zoom!!Habari zenu member woote wa JF,
Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe.
Mawazo yangu.
Eti kuna mdada Avatar yake matata (haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii). Sasa mie ndio nilikuwa nakuuliza kama wewe umeshaiona?Mrs..... hebu nipe link kwanza. Maana hata sijui nini kinaongelewa hapa