COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .
If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID
Kukata tamaa ni dhambi ,nimetafakali sana kwa nini Arsene Wenger amekuwa king'ang'anizi kuendelea kuwa coach wa Arsenal wakati ameshindwa kuleta makombe makubwa?Asee kweli unajua wenger alipotokea na anapoelekea...msome vizuri wenger umjue bro huyo mzee sio good references atakupeleka shimon..ni ushauri tu bro uamuzi ni wako
Kukata tamaa ni dhambi ,nimetafakali sana kwa nini Arsene Wenger amekuwa king'ang'anizi kuendelea kuwa coach wa Arsenal wakati ameshindwa kuleta makombe makubwa?
Nimepata jibu ya kuwa hajatimiza malengo yake na hawezi yatimiza ila anaonyesha appattite na njaa ya kutimiza ndoto na malengo yake ,kwa ujinga wangu nimejifunza hili ila na nitalifanyia kazi-Its Not Over Until You Win .
Naona watu mnajitahidi kumkatisha tamaa mwenzetu.Ungekuwa mshabiki wa Arsenal toka kitambo, sidhani leo hii ungemuona huyu mzee rolemodel.
Tunamwambia hali halisi, sometimes unatakiwa uwe aggressive...Naona watu mnajitahidi kumkatisha tamaa mwenzetu.
Yeye kasema "Wenger anafaa kuwa roll model kwa sababu hakati nia, always yuko motivated ingawa anajikwaa, anaamka na kusonga mbele". Hivyo mwenzetu kajifunza kutokata tamaa hata vikwazo vikija vipi. Ingawa inachosha.
Mi nadhani hakuna "mfungaji bora wa goli la mkono" kama Morinho. No 6 vikombe 3.
Ungekuwa mshabiki wa Arsenal toka kitambo, sidhani leo hii ungemuona huyu mzee rolemodel.
Sababu za kufeli na kusemwa ni zipi? Na chanzo cha hizo changamoto ni nini?Ni kweli jamaa ni role model. Kama kufeli, amefeli sana, kama kusemwa kasemwa mno, kama kuchukiwa ndio usiseme, lakini yeye anasonga mbele. Nadhani kwake hakuna msamiati wa kukata tamaa
mkuuni haki kukomalia kufanikisha mipango yako kwa kuvuruga mipango ya watu wengine au kuumiza wengine?? ,mi binafs naona wenger ni mfano mbaya sana sipati picha km angekua kiongoz wa nchi maana hio nchi lazima ingekua na machafuko tuuCOYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .
If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID
Dictator wengerHuyu mzee katika hiyo Team ni Kama Mugabe kwa Zimbabwe
Benjamin JamesCOYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .
If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID