Namshangaa sana mtu anayekwenda Hospital kupima vitu hivi

alexmahone

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
482
406
Mtu na akili zako timamu unampeleka mkeo kwenda kupima jinsia ya mtoto alioko tumboni, ili iweje kwa mfano. Au unaenda kupima DNA ya mtoto ikusaidie nini.

Mdada unapanga foleni kupima mimba,wakati miezi miwili ikipita utajuaa tu Kabisaaaaa unaenda kupima HIV ilhal unajua hakuna tiba sipoteziii muda wangu mimi bora nikae home nikisomaaa Novel...,
 
eti hupimi kwa sababu hakuna tiba
eti DNA ya nini
Maneno ya mkosaji hayo
Lakini hapo kwenye jisnia ya mtoto.... Mhhhhh. hapo naona uko sahihi kabisa. hata Mungu hapendi
 
Kwenye jinsia ya mtoto uko sawa,,huko pengine inanibidi nikuone kama Mchochezi
 
Mkuu mtu anapima hivyo vitu kutokana na sababu kama hizi

1.Jinsia Ili mzazi ajipange na mahitaji au malezi ya jinsia ya huyo mtoto(japokuwa wengine wakikuta jinsia ambayo hawajaitarajia huwa wana abort)

2.DNA sanasana ni kwa wale wanandoa wasioaminiana au kama kulifanyika makosa au kuna wale watoto wanaopata special treatment huwa hawaonani na wazaz wao zaidi ya mda wa kunyonuesha mpaka mtoto apone manesi wanaweza fanya makosa wakachanganya watoto.

3.Mtu anaweza kjpima mimba kujua kama ana unauzito au laa either kama anao atoe au ajipange na mambo mengine alafu pia kuna baadhi ya Kazi/organisation/program ukitaka kujiunga nazo lazima mschana apime kwanza wajue ndipo uweze ku join.

4.Kupima HIV ni muhimu hata kama dawa za kuponesha hakuna Ila zipo za kuongeza CD4 ambazo zitamfanya abaki na afya yake na pia kama mtu ameathirika anapewa counselling jinsi ya kuishi na ugonjwa ili virusi visiudhuru mwili kwa kasi.

Yote hayo ni muhimu mkuu, labda kama ulikuwa na mawazo mengine kuhusu hivyo vipimo.
 
Alexmahone acha kupotosha umma wa dunia hii kuhusu kupima HIV Hata kama tiba au dawa.

Kumbuka kwa akina mama wajawazito kupitia program ya Pmtct yaani Prevention from mother to child transmission imesaidia sana wakina mama wengi kapata au kujifungua watoto ambayo ni free from HIV

Kama wapi wakinamama wajawazito 100 ambayo wote ni HIV positive basi wote wakijifungua wakinamama 96 watajifungua watoto HIV negative na 4 watajifungua watoto HIV positive

Hii imetokana na maendeleo Mzuri ya hii program kwasababu kabla ya hapo hali ilikuwa mbaya Karibu wakina wote walikuwa watajifungua watoto na HIV na kuishi wale watoto ilikuwa mtihani mkubwa
 
Everyone is guided by his or her own attitude, so spend ur time to do what you want to do, as long as you like to do so,,, but let others play their part because they like to be like...


Life's formula

Don't try to force people to be like you. We do differ like sign of fingers.

Thanks.
 
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…