Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 3,743
- 10,735
Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu.
Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo yanatokana na kitendo cha Spika wa wakati huo Samweli Sitta kuruhusu wahuni waliookuwa nyuma ya njama za kumkwamisha Lowassa kutekeleza majukumu yake. Leo tena wameibuka watu wenye hila kama ya Mwakiembe dhidi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe.
Watu hao wanatamani mkulima aendelee kuteseka na kuwa mtumwa na Wala hawana huruma na maisha ya watanzania kwani Mbolea ya ruzuku kwao hawataki itolewe, hawataki ruzuku ya serikali iwekwe kwenye sukari ili hali hawataki kulima. Mheshimiwa Spika nampongeza kwa kukataa wahuni kumlisha maneno.
Ushauri. Wote walio nyuma ya Mpina watafutwe na washughulikiwe kwa kutaka kuleta fujo ndani ya bunge.