I inezzle Member Oct 26, 2016 23 5 Jan 14, 2017 #1 Habari wana jamvi,samahani jamani kwa yetote yule anaejua matumiz ya io application walau kwa kifupi naomba ajaribu kunielekeza angalau nielewe hata kdg namna ya kuitumia Ahsanteni sana
Habari wana jamvi,samahani jamani kwa yetote yule anaejua matumiz ya io application walau kwa kifupi naomba ajaribu kunielekeza angalau nielewe hata kdg namna ya kuitumia Ahsanteni sana
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,804 12,226 Jan 14, 2017 #2 Ili uende speed uue watu wasio na hatia?