Namna ya kupata taarifa muhimu za kimtandao

ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
1,782
3,524
Naomba msaada wadau:
kuna tafiti nafanya juu ya matumizi sahihi ya internent kwa wafanyabiashara, watoa huduma za kijamii na watu binafsi kwa hapa Tanzania. katika taarifa hii nataka kujua kituo kinachokusanya taarifa zifuatazo:
a) gharama za kuanzisha internet na blogs mbalimbali
b) kujua rate au idadi ya makampuni yanayoanzisha website na blogs kwa mwezi.
c) kujua idadi ya makampuni, jumuiya zinazotoa huduma za kijamii na watu binafsi ambao hushindwa kuhimili kuendesha huduma za kimtandao kila mwaka.
d)pia nataka kujua sababu zinazopelekea kushindwa kwa makampuni hayo na watu binafsi kuendelea na huduma ya internet aliyoianzisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…