pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 262
- 522
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti
Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia za mbwa kabla hujammiliki na utajua kwa kusoma vitabu au kuangalia documentaries mbalimbali
Sasa inapotokea mbwa anakung'ata au amemng'ata mtu na umejaribu mbinu zote kumuachanisha na bado haiwezekani namna ya rahisi kabisa ni kumtia kidole matakoni, mbwa huyo ataruka na kukimbia mbio
Najaribu kutafuta uthibitisho niambatanishe humu
View: https://www.youtube.com/watch?v=oTPY0nuH_g8