Namna ya kujiajiri ukafanikiwa kwa haraka (kwa wenye mitaji)

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,999
23,400
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke)

Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa wengi kwenye biashara,siri ambayo tunafichana fichana tu kila siku hatuambiani tunashauriana tu maneno mengiiii ila tunaacha ambiana ukweli.

Watu wengi huingia kwenye biashara kwa lengo la kujiongezea kipato na zaidi kuwa huru na maisha yao maana ukiajiriwa ningumu sana kuwa huru na maisha yako,kuajiriwa ni kautumwa flani.

lakini kabla ya kuondoka ktk huo utumwa n lazima uwe na mikakati ya kuondoka hilo eneo,huwezi tu ukasema unaacha kazi wakati hujajiandaa unaenda wapi na kufanya biashara gani.

Watu wengi wakiwa wameshakata shauri kuwa "kuajiriwa sasa basi" wanaruka ngazi 1 muhimu sana sana ktk ulimwengu wa biashara, ngazi ambayo ni "uzoefu", hii ngazi ya uzoeefu wengi sana huiruka kwasababu ameshajiona mtaji anao,uwezo anao so mambo yote yanawezekana.

kweli mtaji ni muhimu lakini ili uanzishe biashara yako unahitaji uzoefu, Je uzoefu wa biashara unayotaka kuifanya unaupatia wapi? lets say mtu unataka uanze kujiajiri uwe mama ntilie, kweli unajua kupika chakula nyumbani watu wakakipenda,kila ukipka mumeo/wanafamilia wanakusifia unapka vizur na vitamu.

lakini kumbuka kuna utofauti mkubwa sana wa upikaji wa wali wa biasharana wali wa nyumbani,kuna utofauti mkubwa sana wa pishi la mboga ya biashara na mboga ya nyumbani, usilete experience zako za nyumbani kwenye biashara,Utaangukia Pua.

sasa ufanye nini?

Jiulize kwanza unata kakufanya biashara yako ya mama ntilie eneo gani? Tafuta eneo lako mahali ulipolenga kuwa biashara mtaa huu pananifaaa, ukishajua labda mama ntilie yangu natakakuifanya mtaa wa "magomeni" tia tiki eneo hilo ushamaliza...

stage ya pili,jiulize umesha ajiriwa kwa muda gani hadi ukapata huo mtaji unaota kakufungulia mama ntilie? jibu labda ni miaka mi 3, sasa kama uliwezakuajiriwa ukadumu miaka mi 3 ya mateso na kujinyima sidhani kama utashindwa kukubali kuajiriwa tena kwa miezi miwili ili upate Uzoefu wa biashara unayoitaka.

kumbuka uzoefu haupatikani kwa kuuliza kina mama ntilie wengine biashara inafanyikaje,bali uzoefu unapatikana kwa kuingia kazini nakufanya wanachokifanya wenzako,ndio uzoefu unapatikana hvyo.

sasa basi,hapa ni lazima wala sio ombi wewe unaetaka kufungua mama ntilie utafute ajira,kumbukaajira hii si kwa lengo la wewe kupata kipato yani pesa ila hii ajira unaitafuta ili upate uzoefu ambao usingeweza kuupata popote palee.

Chakufanya ushajua unataka kufanya mama ntilie yako magomeni,tafuta mama ntilie alie magomeni mwenye wateja kishakamuombe kazi mwambie unaomba kazi ili tu kuepukakushinda nyumbani maana unaishi na mama wa kambo mchana anakutesa sana,pona yako ni usiku anapoenda kazini kwahyo unatafuta chakufanya tu mchana ili kupoteza muda kisha jioni utarudi nyumbani, Mwambie asikulipe hata senti5 ila kama atapenda kukulipa utashukuru.

Lazima atakubali,wabongo si watu wapenda mteremko,ataona lifanya kazi labure bure hili hapa,ingia kazini anza kazi sasa kumbuka na ujue nini kimekupeleka pale kuomba kazi,Fanya kazi kwa bidiii fanya kama ndio upo kazini kwako sasa,piga kazi haswaa.. Muda wa kusambaza chakula mtaani Omba hiyo nafasi usambaze wewe chakula au msaidiane na wale wafanyakazi wa yule boss kusambaza.

hapa utakutana na wateja live uso kwa uso,utajua wapo wapi,wanapatikana wapi,kuanzia muda gani,na bei wanauziwaje,utajua Kila kitu wateja gani wasumbufu, wateja gani maboss,utajua kila kitu kuhusu uuzaji na usambazaji wa chakula kwa wateja wa nnje.

Siku zingine komaa na upishi jikoni,usikazane na sehemu moja jichanganye ujue kila kitu,piga kazi kwa miezi yako miwili hasa hasa komaa nnje ili wateja wakujue na wakuzoeeee (maaana soon hao wanaenda kuwa wateja wako).

ukishaona umeivaa haswaaa aga vizuri kwa upendo na amani kisha,anza mipango yako uliyokua nayo Eneo lako ulilolitega nadhani bado lipo,Kafungue sasa mama ntilie yako eneo lile.

Uhakika wa wateja unao,maana unajua wanapopatikana,unajua vingi kuhusu mpinzani wako ambae ni ofisi uliyotokea kwenye "field" nina uhakika kwa asilimia kubwa utafanikiwa sana na utaonekana mchawi kumbe si kweli ni akili tu imetumika na hauku kurupuka. "bingo"

Umepata kitu sasa? Maana yake ni:

ukitaka kujiajirikufungua biashara yako ni lazima ukubali kuajiriwa kwanza kwenye 1 ya ofisi inayofanya biashara unayotaka kuifanya,Apply formula ile ile ambayo maofisi yanayoajiri hutumia,hawa ajiri bila kujua experience yako toka kwenye 1 ya ofisi inayofanya wanachokifanya tena with proof waone.

kwahyo na wewe jipe miezi miwili ya field kabla hujaamua kujiajiri, huwezi toka kuajiriwa na hapo hapo ukawa boss of your own with no experince,Amua sasa kutafuta elimu ambayo hutoweza ipata kwa kutumia pesa ni lazima ukubali kujishusha na kujifanya lijinga,dharaulika mara ya mwisho baada ya hapo watakuita majina yote watakayojiskia, kama vile ulieshndikana,mchawi,mwanga,kaaaga,kajichanja,nk nk

siri ya biashara ni Akili,biashara inahtaji akili nyingi sana pesa kiduchuuuuuuuuuuuu..... DONE.
 
Umeandika vizuri, ila pia huo uzoefu unaweza kuupatia ukiwa ofisini kwako bila kwenda field labda kama ni mgeni, sema inategemeana pia na aina ya biashara.

Ukifungua biashara ambayo ni fani yako haina ulazima sana kwenda field kwani uzoefu tayari unakuwa nao,
kwamfano kama wewe ni nurse na upo hospital kila siku unauza dawa lazima uzoefu utakuwa nao tu hata ukienda kufungua duka la dawa haiwezi kukusumbua

Kama wewe ni fundi magari (garage) uzoefu tayari unao hivyo hata ukienda kufungua garage yako haiwezi kukusumbua. Cha msingi ni MATANGAZO TU

Uzoefu ni muhimu katika biashara, ila kuwa na uzoefu siyo kigezo pekee cha kuwavuta wateja, kuna vitu vingi. E.g

1. Usafi wako binafsi
2. Usafi katika mazingira yako ya kazi
3. Mpangilio mzuri wa vifaa/bidhaa zako
4. Kauli
5. N.k
 
Kwa Maelezo yako inategemea na aina ya biashara. Maana biashara zingine mtu hawezi kukuweka katika chain yake kama hakufahamu au hafaham wewe ni nani.

Mfano unataka kufungua biashara ya kuuza dawa kariakoo, sidhani kama ni rahisi mtu kukuweka kwenye duka lake pasipo utaratibu au kufahamu wewe ni nani.

Kiujumla ukifanya chochote kile kwa nia na maarifa utapata matokeo kama sio kesho basi kesho kutwa.
 
i told many people if you want to get hired...first volunteer..binafsi ni mejiajiri na nimeajiri watu fist time naanza ilikuwa na projection ya kuflexbilty matumizi yangu nikawa nafanya part time bana wateje wakanielewa wakawa wanasubiri mpaka nitoke job ndio wafanye kazi na mimi niliyemwacha wakawa hawamwelewi...tuacachane na hayo siri ya kufanikiwa ipo pia kwenye kuotea gap na mimi huwa sipendi kubanana na kompetitor wangu japo kuna ambao wanapenda kunifuata na kuniharibia kuanzia bei na kuiga mfumo wa ufanyaji biashara..cha kwanza tambua uhitaji wa kitu sehemu husika...Fanya kwako kuwa ndio suluhisho...yaani hospital ya rufaa kama ni duka amua muda wa kufungua uwe mapema sana kuliko yeyote na item fulani inayopendwa kama vocha sigara visikossekane..kama unachagua kuwa waa mwisho kulala kuna item kama mikate maandazi viazi sigara na pombe za kubeba zisikosekane na ukawe wa mwisho kweli..ni mfano tu...jua mida ya wateja wako ni mda gani na item gani wanazipendelea kama ni mwisho wa mwezi mchana au jioni..usiruhusu dharula yoyote kuvuruga huo mda...na bidhaa isikosekana(fast moving item).kuwa na macho matatu ajiri mtu au watu..pata nafasi ya kuzungukia wenye biashara kama yako wanafanyaje tech gani na maujannja gani wanayo..itakusaidia kujua unakwenda vyema au lah!..kuna huduma hazina faida la kini ni muhimu kuwa nazo...usidharau bidhaa yoyote ina mtumiaji wake..
 
Nilipamiss humu hongera mkuu
 
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke)

Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa wengi kwenye biashara,siri ambayo tunafichana fichana tu kila siku hatuambiani tunashauriana tu maneno mengiiii ila tunaacha ambiana ukweli.

Watu wengi huingia kwenye biashara kwa lengo la kujiongezea kipato na zaidi kuwa huru na maisha yao maana ukiajiriwa ningumu sana kuwa huru na maisha yako,kuajiriwa ni kautumwa flani.

lakini kabla ya kuondoka ktk huo utumwa n lazima uwe na mikakati ya kuondoka hilo eneo,huwezi tu ukasema unaacha kazi wakati hujajiandaa unaenda wapi na kufanya biashara gani.

Watu wengi wakiwa wameshakata shauri kuwa "kuajiriwa sasa basi" wanaruka ngazi 1 muhimu sana sana ktk ulimwengu wa biashara, ngazi ambayo ni "uzoefu", hii ngazi ya uzoeefu wengi sana huiruka kwasababu ameshajiona mtaji anao,uwezo anao so mambo yote yanawezekana.

kweli mtaji ni muhimu lakini ili uanzishe biashara yako unahitaji uzoefu, Je uzoefu wa biashara unayotaka kuifanya unaupatia wapi? lets say mtu unataka uanze kujiajiri uwe mama ntilie, kweli unajua kupika chakula nyumbani watu wakakipenda,kila ukipka mumeo/wanafamilia wanakusifia unapka vizur na vitamu.

lakini kumbuka kuna utofauti mkubwa sana wa upikaji wa wali wa biasharana wali wa nyumbani,kuna utofauti mkubwa sana wa pishi la mboga ya biashara na mboga ya nyumbani, usilete experience zako za nyumbani kwenye biashara,Utaangukia Pua.

sasa ufanye nini?

Jiulize kwanza unata kakufanya biashara yako ya mama ntilie eneo gani? Tafuta eneo lako mahali ulipolenga kuwa biashara mtaa huu pananifaaa, ukishajua labda mama ntilie yangu natakakuifanya mtaa wa "magomeni" tia tiki eneo hilo ushamaliza...

stage ya pili,jiulize umesha ajiriwa kwa muda gani hadi ukapata huo mtaji unaota kakufungulia mama ntilie? jibu labda ni miaka mi 3, sasa kama uliwezakuajiriwa ukadumu miaka mi 3 ya mateso na kujinyima sidhani kama utashindwa kukubali kuajiriwa tena kwa miezi miwili ili upate Uzoefu wa biashara unayoitaka.

kumbuka uzoefu haupatikani kwa kuuliza kina mama ntilie wengine biashara inafanyikaje,bali uzoefu unapatikana kwa kuingia kazini nakufanya wanachokifanya wenzako,ndio uzoefu unapatikana hvyo.

sasa basi,hapa ni lazima wala sio ombi wewe unaetaka kufungua mama ntilie utafute ajira,kumbukaajira hii si kwa lengo la wewe kupata kipato yani pesa ila hii ajira unaitafuta ili upate uzoefu ambao usingeweza kuupata popote palee.

Chakufanya ushajua unataka kufanya mama ntilie yako magomeni,tafuta mama ntilie alie magomeni mwenye wateja kishakamuombe kazi mwambie unaomba kazi ili tu kuepukakushinda nyumbani maana unaishi na mama wa kambo mchana anakutesa sana,pona yako ni usiku anapoenda kazini kwahyo unatafuta chakufanya tu mchana ili kupoteza muda kisha jioni utarudi nyumbani, Mwambie asikulipe hata senti5 ila kama atapenda kukulipa utashukuru.

Lazima atakubali,wabongo si watu wapenda mteremko,ataona lifanya kazi labure bure hili hapa,ingia kazini anza kazi sasa kumbuka na ujue nini kimekupeleka pale kuomba kazi,Fanya kazi kwa bidiii fanya kama ndio upo kazini kwako sasa,piga kazi haswaa.. Muda wa kusambaza chakula mtaani Omba hiyo nafasi usambaze wewe chakula au msaidiane na wale wafanyakazi wa yule boss kusambaza.

hapa utakutana na wateja live uso kwa uso,utajua wapo wapi,wanapatikana wapi,kuanzia muda gani,na bei wanauziwaje,utajua Kila kitu wateja gani wasumbufu, wateja gani maboss,utajua kila kitu kuhusu uuzaji na usambazaji wa chakula kwa wateja wa nnje.

Siku zingine komaa na upishi jikoni,usikazane na sehemu moja jichanganye ujue kila kitu,piga kazi kwa miezi yako miwili hasa hasa komaa nnje ili wateja wakujue na wakuzoeeee (maaana soon hao wanaenda kuwa wateja wako).

ukishaona umeivaa haswaaa aga vizuri kwa upendo na amani kisha,anza mipango yako uliyokua nayo Eneo lako ulilolitega nadhani bado lipo,Kafungue sasa mama ntilie yako eneo lile.

Uhakika wa wateja unao,maana unajua wanapopatikana,unajua vingi kuhusu mpinzani wako ambae ni ofisi uliyotokea kwenye "field" nina uhakika kwa asilimia kubwa utafanikiwa sana na utaonekana mchawi kumbe si kweli ni akili tu imetumika na hauku kurupuka. "bingo"

Umepata kitu sasa? Maana yake ni:

ukitaka kujiajirikufungua biashara yako ni lazima ukubali kuajiriwa kwanza kwenye 1 ya ofisi inayofanya biashara unayotaka kuifanya,Apply formula ile ile ambayo maofisi yanayoajiri hutumia,hawa ajiri bila kujua experience yako toka kwenye 1 ya ofisi inayofanya wanachokifanya tena with proof waone.

kwahyo na wewe jipe miezi miwili ya field kabla hujaamua kujiajiri, huwezi toka kuajiriwa na hapo hapo ukawa boss of your own with no experince,Amua sasa kutafuta elimu ambayo hutoweza ipata kwa kutumia pesa ni lazima ukubali kujishusha na kujifanya lijinga,dharaulika mara ya mwisho baada ya hapo watakuita majina yote watakayojiskia, kama vile ulieshndikana,mchawi,mwanga,kaaaga,kajichanja,nk nk

siri ya biashara ni Akili,biashara inahtaji akili nyingi sana pesa kiduchuuuuuuuuuuuu..... DONE.
Ndugu umeongea pointi sana ubarikiwe
 
Back
Top Bottom