smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,836
Habari zenu wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kuwa njia hii nilikutana nayo mtandaoni na nikaona si vibaya nika share na nyie kwa kuwa inawezekana kuna watu wanapenda kutumia vpn ila shifa huja kwenye malipo yake huwa makubwa kupita kiasi ,basi tuanze .
Kwanza kabla sijaanza inabidi niwajulishe kwanza baadhi ya vitu ili wengine ambao hawajui nini maana ya vpn wawe na mwanga kidogo.
1.VPN.
Visual private network (vpn) hii kama inavyojieleza ni private network ambayo inakusaidia wewe kutembelea tovuti mbali mbali bila kuweza kuonyesha address yako wala location uliyopo hii inakuongezea wewe security kwa kuwa wadukizi wengi(hackers) huwa wanatumia ip address yako ili kuweza kukudukua lakini vpn huwa inatumia technology inayojulikana kama TUNNELING ilikuweza kuficha address yako hivyo kuwa vigumu kwa wewe kuweza kudukuliwa
MATUMIZI YA VPN.
-watu wengi hutumia vpn ili kuweza ķuingia kwenye websites ambazo huwa zinatumika kwenye nchi husika na kwenye nchi nyengine haipatikani yaani ukiingia either ikuandikie website not available au isifunguke kabisa mfano labda unakuta tovuti inatumika marekani tu au urusi tu na nchi nyengine wameblock unaweza kutumia vpn kufake ip adress yako ikaonekama kama upo kwenye hiyo nchi na uka access hiyo tovuti watu wengi hutumia hii njia hasa wale walioko nje huko mfano china.
-pia wengi hutumia vpn katika apps(hapa namanisha hata zile apps za games pia) ambazo zimezuilika kutumika nje ya mipaka ya nchi husika mfano kuna hii apo inaitwa SPOTIFY hii app sana sama inatumika marekani na nchi nyengine za ulaya ila kwa huku kwetu kuitumia mpaka vpn ni app ambayo inakuruhusu wewe kuweza kutengeneza online playlist yako ya miziki ambayo utaweza kuisikiliza kwa muda uutakao bila kuweza kujaza storage yako ya simu hivyo kufungua account kwenye hii app itakubidi utumie vpn kupata ip address ya hizo nchi ambayo ipo active.
AINA ZA VPN.
vpn huja kwa aina mbili kuu mfano ni hizi
-built in device vpn (hizi huwa zipo katika software ya simu au laptop yako).
-downloadable vpn hizi zipo apps zake ambazo kampuni inayomiliki ndiyo inakupa ip address kwa malipo.
Mimi nita base na hiyo ya pii hapo.
DOWNLOADABLE VPN/VPN APPS.
Kama nilivyosema hizi ni zile vpn ambazo itakubidi u download app husika ili kuweza kuzitumia app hizo mfano ni hii EXPRESS VPN app hii ina jina kubwa na pia ina watumiaji wengii sana duniani na ina feature nzuri pia ipo effective na simple kutumia hivyo mada ya leo itahusu namna ya kuidukua ili upate matumizi ya mwaka mzima bureee yap nikisema bure namaanisha hautalipia hata kumi ila itabidi ufuate maelekezo haya kwa umakini.
EXPRESS VPN.
hii app kama nilivyoelezea hapo juu ni nzuri mno ila ukii download itakuhitaji uweke email yako ili uweze kujisajili na kupata siku saba za bure kisha baada ya hapo utalipia ili kuweza kutumia (kitu ambacho ni ujinga).
NAMNA YA KUDUKUA.
Fuata maelezo haya hapa chini.
1).Ingia playstore kisha download app hii inayoitwa express vpn kisha wacha iji install.
2).Baada ya kuji install ifungue kisha itakuletea option mbili ambazo ni sign in na start free trial basi baada ya hapo usiguse chochote bali toka nje ya hiyo app yaani gusa home button urudi kwenye home menu ya simu.
3).kisha baada ya hapo ingia google kisha andika hivi
(Tempmail) kisha search itakuleta kwenye link mbali mbali chagua hiyo ya kwanza ipo hivi (http//temp-mail.org) kisha iguse.
4).itafunguka kisha hapo kwenye homepage ya hiyo tovuti utaona kuna email sasa hapo wewe i hold kisha i copy hiyo email kisha rudi kule kwenye ile express vpn app yako.
5).basi baada ya kurudi kwenye express vpn gusa hapo kwenye start free trial itakuleta kwenye page nyengine ambayo utaona kuna sehemu ya kujaza email na inekuandikia hivi (try express vpn free for 7 days ) hap kwa chini kwenye hilo box/kijisanduku ( sijui kama ni sawa )hold kisha paste hiyo email
Note ;kama umeshindwa ku copy na kupastw kwenye simu direct basi andika pembeni hiyo email either kwa kalamu kisha utaiandika kama ilivyo kwenye kijisanduku kile .
6).baada ya hapo gusa hapo kwenye start free trial kisha wacha iji load basi hapo utakuwa umeshamaliza kui dukua(bali si terminology inayoendana) .
Ukiangalia hapo juu utaona umepewa siku 299 au zaidi za kutumia free .
Sasa hapo ni wewe kuchagua nchi unayopendelea kisha start vpn anza kuzama mitandao unayotaka hapo upo safe kabisa .
Na pia unaweza ukatumia hii vpn ukichanganya na deepweb browsers mfano orbot na orfox au onion browser yoyote hii itakufanya usiwe tracked.
N.b
Pia kama hizo siku zikiisha unaweza kuifuta kisha ukadownload nyengine halafu ukarudia procedure kisha maisha yakaendelea.
nakaribisha maswali yenu pia naruhusu kukosolewa kwa kuwa ni njia ya kujifunza pia karibuni.
Admins naombeni huu uzi msiuhamishie jukwaa la tech bali muuache hapa kwenye watu wengi ahsanteni.