Namna ya ku withdrawal ton coins zangu kuja direct to my bank account

Mama Mwana

JF-Expert Member
Jun 6, 2023
1,956
6,631
habari waungwana, naomba kuelekezwa namna ya kufanya hiyo transaction kutoa ton coins zangu kuja bank account kwamwneye kujua
 
Kama zipo kwenye wallet hamishia kwenye exchange then zi swap kwenda usdt half nenda p2p tafuta wakala mzuri muuzie utachukua ije kwenye lain gani ya simu au acc ya bank,, huwa mimi natumia remitano exchange very easy na wakala mmoja muaminifu sana hapa siwezi kutaja jina lake
 
Back
Top Bottom