Namna rahisi ya kupata wanunuzi wa bidhaa Instagram

msomi duni

Member
Apr 11, 2024
89
297
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya nikaona acha nianze kujitangaza kupitia instagram ila huko nako kwa muda niliokaa nimejifunza / nimegundua vitu viwili vitatu

1: Mwanzo unapata mwitikio mkubwa wa watu wanaokufahamu.
Hii sio kwamba wanataka kununua bidhaa yako ila tu wengi wanataka waone utafikia wapi au utakuwa unafanya nini, hawa ni wale home boys & home girls, school mates & college mates, relatives MaX n.k

2: Baada ya kuitikia ndio utajua uhalisia wao.
Ukifanya kwa mipango obvious utaona matokeo chanya Yani namaanisha utaanza kupata wateja wapya na interactions na utatengeneza connection mpya hata kama ni mbili au tatu na ndio hapa utaona uhalisia kwamba they want you to succeed ila sio kuwazidi they be start to sleep on you unajua kama ile people be playing dead to you kama tu wanakuacha ujipostie wanaona na hawakupi impression yoyote inauma sana mzee, Yani unakuta watu 1500 wanacheki mazaga yako ila wanalike 20.

Mwisho naomba wajuaji mnipe mbinu ya kupata wateja kupitia mtandao maana mi inakatisha tamaa kabisa.
Screenshot_20240601-112215.png
 
Back
Top Bottom