godlovalez360
Member
- Oct 4, 2023
- 11
- 9
Wakuu habari zenu..
Kutokana na ulimwengu huu unavyobadilika ...teknoljia imekua kwa kasi mno tofauti na zamani..
Jambo ambalo limerahisisha sana upatikanaji wa kazi za fasihi kama hadithi fupifupi na riwaya kwa njia mbali mbali mtandaoni..
Mifumo hii ya kisasa inawapa kipaumbele sana waandishi nguli na wale ambao ni wazoefu...
Lakini je, vipi kwa waandishi chipukizi?
Hawa wanapataje mwanga wa kujiendeleza katika vipaji vyao...hasahasa kutangaza kazi zao kwa njia ya mitandao?
Maoni yenu wadau......
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app