illegal migrant JF-Expert Member Oct 18, 2013 1,277 1,121 Feb 24, 2017 #1 Wizara nayoijua inayopokea land line ni wizara ya mambo ya nje tu hizi zingine ni kichefuchefu sijui mnaweka namba za nini kama hampokei hili tena ni lako waziri wa utumishi
Wizara nayoijua inayopokea land line ni wizara ya mambo ya nje tu hizi zingine ni kichefuchefu sijui mnaweka namba za nini kama hampokei hili tena ni lako waziri wa utumishi
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,655 Feb 24, 2017 #2 Ulikuwa una beep hivi customer care ahache kuchat wasap apokee simu yako
mbudunge JF-Expert Member Jul 7, 2015 1,735 1,089 Feb 24, 2017 #3 Duh hata ukiwa unataka kutoa habari muhimu inakuwa ngumu