zabron k
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 923
- 1,058
Wakuu
Nilikuwa nimehifadhi namba za mbolea ya ruzuku kwenye simu (smart phone) bahati mbaya simu imedumbukia kwenye maji na kioo kimekufa.
Nimejaribu kutafuta kioo kipya lakn gharama zake ni kubwa, nimeona nifanye mambo mengine kwanza.
Naomba kujua kama Kuna namna ya kufanya kupata namba za mbolea ya ruzuku sabab nilipo jiandikishia na wao hawana uwezo wa kujua namba za watu wengine.
Natanguliza shukurani