Zanzibar 2020 Namba 8: Mohamed Hija Mohamed achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,506
3,734
Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.

photo_2020-06-18_14-58-01.jpg
 
Back
Top Bottom