road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,019
Wajerumani hatimaye wamekiti ukatili walioutekeleza 1904 - 1908!
Nimeogoppa kabisa kusikia hii yan waliua 80% ya haya makabila yani nihatari it wa pure genocide! Japo fidia walioitoa hatasaidia kitu lakini hata kikubwa wamekiri na kuonesha walikosea kuna wakati niliona documentary kwenye aljezeera niliogopa sana !! Baada wanamibia Nama na Herero kuonesha resistance ( kuwakataa wajerumani) kutawala Namibia askari kutoka Tanganyika walipelikwa kutekeleza mauaji hayo!!! Kweli unyama wa ajabu ulifanyika!
Kwa upande wetu Watanganyika pia hayo yaliyokea vile vile 1905 -1907 majimaji uprising!!! Unyama pia ilofanyika na mauaji lakini sisi tumetulia tu!
Machifu kadhaa walinyongwa mfano yule Mangi Meli wa Moshi. Mkwawa walidhulumiwa na wahehe waliuwawa tupo kimya!!!
Mjusi wetu mkubwa mithili ya tembo tena yupo ujerumani tupo kimya!
Fuvu la mpigania nchi yake Mkwawa sijajua kama limerudishwa. Kenya kuna miaka waliishitaki Uingereza wakafanikiwa!! Sasa vipi sisi tatizo lipo wapi?