herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,364
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people
Its all about shaping the mind of our people.What is your mind discussing here?
I hope it's not discussing people.
NimekuelewaNi kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.
Hata rais Magufuli naye anajua hili ndiyo maana alisema siku ya jumatatu uzinduzi wa ujenzi flyover ya Ubungo.
Namnukuu "Tumejielekeza mno katika masuala ya udaku ambayo hayatuongezei chochote, hayatusaidii chochote na ndio yanachukua muda wetu mwingi.
Zipo hata tafiti rasmi zinathibitisha hili moja ilihitimisha kuwa ni Watanzania wengi hawapendi kusoma vitabu na magazeti ya msingi lakini wanapendelea sana kusoma magazeti ya udaku hili hata ukifanya kauchunguzi kidogo tu utabaini kaulize muuza magazeti ni yapi yanaisha kwa haraka atakujibu udaku.
Mijadala mingi ni matukio, fulani kafanya hivi yule vile, yule siku hizi hasalimii anhaa si wajua kapata ajira!
Kiongozi akikosea na kama kweli ushahidi upo watu wenye akili timamu hawaishii tu kusema sema wanachukua hatua kumuwajibisha ili mambo mengine ya kimaendeleo yafanyike, mataifa yaloendelea ya dunia ya kwanza wamefankiwa na wanazidi kufanikiwa kwa kufanya hivyo.
Kila mtu inatakiwa awe na dira/malengo kwenye maisha yake, taasisi vilevile hata taifa pia lazima liwe na dira siyo kwenda kwenda tu hovyohovyo kwa kuyafanya matukio ndiyo agenda/dira.
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people"
Matusi ya watu humu ndani huwa naishia tu kuwapa pole maana naona kushindwa kwa hoja.Ngoja waje jeshi la ufipa pale kinondoni. Hakuna tusi ambalo hutotukanwa. Wao sa hiv walichobakisha ni matus tu maana juz mnyika et anamwagiza rais et atoe sabab za kumtumbua nape as if wakat anamteua aliwapa sababu
Ni kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.
Hata rais Magufuli naye anajua hili ndiyo maana alisema siku ya jumatatu uzinduzi wa ujenzi flyover ya Ubungo.
Namnukuu "Tumejielekeza mno katika masuala ya udaku ambayo hayatuongezei chochote, hayatusaidii chochote na ndio yanachukua muda wetu mwingi.
Zipo hata tafiti rasmi zinathibitisha hili moja ilihitimisha kuwa ni Watanzania wengi hawapendi kusoma vitabu na magazeti ya msingi lakini wanapendelea sana kusoma magazeti ya udaku hili hata ukifanya kauchunguzi kidogo tu utabaini kaulize muuza magazeti ni yapi yanaisha kwa haraka atakujibu udaku.
Mijadala mingi ni matukio, fulani kafanya hivi yule vile, yule siku hizi hasalimii anhaa si wajua kapata ajira!
Kiongozi akikosea na kama kweli ushahidi upo watu wenye akili timamu hawaishii tu kusema sema wanachukua hatua kumuwajibisha ili mambo mengine ya kimaendeleo yafanyike, mataifa yaloendelea ya dunia ya kwanza wamefankiwa na wanazidi kufanikiwa kwa kufanya hivyo.
Kila mtu inatakiwa awe na dira/malengo kwenye maisha yake, taasisi vilevile hata taifa pia lazima liwe na dira siyo kwenda kwenda tu hovyohovyo kwa kuyafanya matukio ndiyo agenda/dira.
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people"
Una uhakika gani kuwa kweli anapenda udaku?Kweli tz tuna safari ndefu, umepoteza muda kutuandikia upuuzo wako, kama hujui hata uyo mkubwa na mwanawe anapenda udaku.
Kupenda kwake shilawadu kusifanye na sisi tujikite huko kwanye udaku, we unaona ni sawa?Akili za kibashite hizi. Wakati huo huo huoni tatizo kubwa kwa Rais wa nchi kuangalia kipindi cha shilawadu!
http://www.mwananchi.co.tz/Video/2722950-3864072-2t1i2b/index.html
Kupenda kwake shilawadu kusifanye na sisi tujikite huko kwanye udaku, we unaona ni sawa?