Nakaribisha Guest Posts

TheGreatASA

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
250
310
Ndugu zangu wa JF, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na maandalizi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya, 2024.
Nimeamua kuja hapa JF kwa lengo la kukaribisha Guest Posts kutoka kwenu wadau na Wataalamu wa JF.
Kwa kifupi ni kwamba namiliki Website inayojihusisha na masuala yote ya WordPress, na Affiliate marketing.
Nimeamua kutoa fulsa kwa Wataalam wa WordPress, Affiliate marketing na wadau wote wanaomiliki Hosting Companies pamoja na waofanya domain registration Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Leteni Guest Posts zinazohusu WordPress, Affiliate marketing, Domain registration, Web Hosting, WordPress themes na Plugins, nk. Lengo hapa ni ku share ujuzi na wadau wenzako duniani kupitia Website yangu bure kabisa.
Website yenyewe ni: thewpskill.com
Kwa ambaye yupo interested, tuwasiliane kwa kutumia anwani hii; contact@thewpskill.com

Asanteni na Naomba kuwasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom