Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,431
- 7,948
Hawez coz yeye ndo alimtumahaya mambo ya kumwamin mtu kuptiliza na hasa kama anatumika kwa mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya je hatuoni hatari iliyoko mbele yetu!
kwa ujasiri ule wa kuonyesha bastola hadharan je cku moja hawez kumlenga hata RAISI? nawaza tu
halafu kwa anavojiita sniper na matendo aliyofanya what if anatumika hata kufanya mabaya kuliko tuliyoyaona? bado nawaza tu!
jaman hatariii tufikirie mara mbili mbili
DuRais wako Kipenz siyo wetu tutake radhi.
Ndio maana ule mkutano ulizuiliwa ikimaanisha mkutano haukuwa salama kwa alie itisha mkutano ule.haya mambo ya kumwamin mtu kuptiliza na hasa kama anatumika kwa mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya je hatuoni hatari iliyoko mbele yetu!
kwa ujasiri ule wa kuonyesha bastola hadharan je cku moja hawez kumlenga hata RAISI? nawaza tu
halafu kwa anavojiita sniper na matendo aliyofanya what if anatumika hata kufanya mabaya kuliko tuliyoyaona? bado nawaza tu!
jaman hatariii tufikirie mara mbili mbili
"think be for you leep" Dr Albanhaya mambo ya kumwamin mtu kuptiliza na hasa kama anatumika kwa mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya je hatuoni hatari iliyoko mbele yetu!
kwa ujasiri ule wa kuonyesha bastola hadharan je cku moja hawez kumlenga hata RAISI? nawaza tu
halafu kwa anavojiita sniper na matendo aliyofanya what if anatumika hata kufanya mabaya kuliko tuliyoyaona? bado nawaza tu!
jaman hatariii tufikirie mara mbili mbili
Ndiyo maana sniper kutoka marekani a.k.a Mange amemtungua kwenye social networks na kumuanika.Kwanza hakuna sniper anayetumia bastola.
Na ule ubebaji pisto kama novel sikuupenda
Halafu ni mtumishi wa raisi pia so wanajuana...Ndiyo maana sniper kutoka marekani amemtungua kwenye social networks na kumuanika.
He isn't my president.kinyago chake hakimtishi
Wana jamvi. Swali lake halina mashiko kwa msingi kwamba value ya rais ni tafauti sana na ile ya rais. Ukilinganisha mustadha wa ubinadamu wako sawa lakini kwa wadhifa, mchakato wa kupatikana na ulinzi kwa uchache wake ni tofauti sana.haya mambo ya kumwamin mtu kuptiliza na hasa kama anatumika kwa mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya je hatuoni hatari iliyoko mbele yetu!
kwa ujasiri ule wa kuonyesha bastola hadharan je cku moja hawez kumlenga hata RAISI? nawaza tu
halafu kwa anavojiita sniper na matendo aliyofanya what if anatumika hata kufanya mabaya kuliko tuliyoyaona? bado nawaza tu!
jaman hatariii tufikirie mara mbili mbili
Sorry nina maana value ya rais ni kubwa sana kuliko value ya waziri. Comparative analysis ya Nape na MagufuliWana jamvi. Swali lake halina mashiko kwa msingi kwamba value ya rais ni tafauti sana na ile ya rais. Ukilinganisha mustadha wa ubinadamu wako sawa lakini kwa wadhifa, mchakato wa kupatikana na ulinzi kwa uchache wake ni tofauti sana.
Mkuu iandikie thread hii tuyajue yaliyopo uvunguni.Kama walinzi wa Bashite wamemtishia Nape bastola hadharani unadhani walimfanya nini Ben Saanane mafichoni?