Najirani ambaye ni mdada kaumbika haswa lakini najiuliza nimuanzaje?

Yukwapi

Senior Member
Aug 27, 2024
140
255
Habari Wana JF

Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki

Sababu iliyopelekea nianzishe maisha mapya nikutokana na uzinzi uliopitilizaa kwani nakumbuka katika wiki nilikua napumzika siku Moja tuu nakatika sikuu nilikua nabadilisha Hadi watatu ila Hali ikiwa mbaya sana naishia wawili jambo ambalo nilitamani niliache ila nikashindwa mpaka kupelekea kuhama mkoa.

Hivi Sasa ugenini ninawiki tatu sijawahifikiria hayomambo kabisa ilaa kiukwelii hapa ninapo kaa kunajirani yangu amenyambulika haswaa Yani mtoto almasi ,kiufupi hakuumbwa haraka haraka na anaishi mwenyewe.

Wakuuu wajadii,wazee wamilaa ,vijana wenzangu,waheshimiwa viongozi kiukwelii sio kwamba lile pepo linarudi hapana nimoyo umemuanhukia tuu bt sjawah hata kuongea naee ila nmejikuta nataka nipige yamwisho mwisho kabisa.

Naombeni tuu msaada nifanyaje ili niweze kumpata sababu nimekaa ndani kwangu namsikia anaongea nasimu na rafiki zakee ila Mimi sipati usingizi 😭😭nimefikiria nikamgongee nimuombe chaji ila majirani wengine wataniskia naombeni mbinuuu wandugu nipige yamwisho mwisho ,

Wazee wakamati juu,benchi la ufundi ,wakongwe wa zamani,mashujaa wa vita vya Uganda,Mashehe na Wachungaji nawategemeaa mainiangushe kijana nmeshindwa kulala nisaidieni mbinuu nanyie mtabarikiwa mtaepushwa na UTI sugu ,uzao wenu utakua na baraka 🙏🙏
 
Babu yangu nyerere angejua kuna akina uncle wahovyo hivi angefanya shughuli zake na Mama Maria.😂
 
majuzi niliona uzi humu jukwaani ukieleza kwamba ukimuona mrembo mwenye umri kuanzia 30 na kuendelea hajaolewa, hiyo iwe red arlet kwako kwamba, mbele kuna hatari isiyojulikana,

ni muhimu sana chukua tahadhari na kuchukua hatua muafaka pia, vinginevyo dk7 au 11 za kwichikwichi zitakupeleka kaburini kabla ya wakati 🐒
 
Back
Top Bottom