Kuelekea 2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
26,034
19,079
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.

Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
 
IMG-20241222-WA0124(1).jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama chagu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake la wa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa linajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama wa chini ambao nao hawatatuelewa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa amgalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

ni muhimu sana akavuliwa uongozi na akasimamishwa uanachama kwa muda, amefikia kiwango cha mwisho zaidi cha kuvumiliwa, utovu wa nidhamu anaoonyesha, kwakweli umevuka mipaka ya kiungozi pale chadema...
 
Hamlipi mishahara wanao kihudumia chama eti wajitolee milele, hilo nalifahamu pia, ndiyo maana watu wana kihama chama kwasababu ya njaa, mnahubiri demokrasia wakati chaguzi zenu hazifanywi kidemokrasia hadi mnakuwa na mwenyekiti wa chama wa kudumu, life chairmanship
 
Wewe ccm ya chadema yana kuhusu nini?. Chadema ilishajifia ni maneno yenu Sasa hayo ya kwao yanakuhusu nini wakati furaha yako ni kifo chake?. Tulia Wacha walaruane.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama chagu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.

Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake la wa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa linajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama wa chini ambao nao hawatatuelewa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa amgalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Wewe kama nani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.

Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Tundu Lisu anakukosesheni ugali wenu, sasa si nyinyi mliosema chama chenu ni cha demokrasia, tundu lissu anakufundisheni demokrasia muache kupiga hela za upande ule
 
Kama Mwashambwa Lucas Mlipa kodi inayotumika kulipa Ruzuku CHADEMA zaidi ya Million mia moja na 7 na zaidi ya Billion 2.7 ambazo zililipwa kwa mkupuo miezi michache tu iliyopita.
Achana na Chadema wewe mjinga kabla hatujakulipua ukimbie jf milele, kwani mambo ya ccm yamekuishia?

Nakupa onyo la mwisho
 
Back
Top Bottom