Nairobi SGR Terminus vs Dodoma Bus Station

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,583
89,085
Nairobi Terminus
c79ixelw0amudl4-jpeg.1198215


VS
Dodoma bus station
EDemaz3WkAAIxHQ.jpg:large


MY TAKE: Dodoma bus Station is as good as Nairobi Terminus. BTW some buildings at Dodoma bus station r having up to 4 floors! whereas at Nairobi Terminus 2 floors!
 
Yani bado mnajenga stendi tu...bado mnajaribu kujiliwaza baada ya pipeline kupigwa na chini
Nairobi Terminus
c79ixelw0amudl4-jpeg.1198215


VS
Dodoma bus station
EDemaz3WkAAIxHQ.jpg:large


MY TAKE
Dodoma bus Station is as good as Nairobi Terminus. BTW some buildings at Dodoma bus station r having up to 4 floors! whereas at Nairobi Terminus 2 floors!
 
Render,,,,tuletee finished product.
Si mandoto

Wakenya bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

League ya Tz vs Kenya naenjoy jinsi mnavyojibizana. Yaana hakuna anayekubali mwenzake hata kama ni kitu kikubwa kasoro moja itakomaliwa sana, mkibana sana anaenda nje ya mada mara Slums, mara albinos duh! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Bado kidogo muanze Uchawi.


Anyway battle yenu imenifaidisha sana.


1. Imenifanya niwe informed na miradi inayoendelea Nchi yangu ya Tz na jirani Kenya.

2. Kufahamu maeneo ya Kenya nje ya Nairobi.

3. Takwimu mbalimbali.



Na mengineyo.


Thanks wakuu.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Bila kusahau imekufanya ufahamu kibera biggest slum in Africa
Wakenya bana

League ya Tz vs Kenya naenjoy jinsi mnavyojibizana. Yaana hakuna anayekubali mwenzake hata kama ni kitu kikubwa kasoro moja itakomaliwa sana, mkibana sana anaenda nje ya mada mara Slums, mara albinos duh! Bado kidogo muanze Uchawi.


Anyway battle yenu imenifaidisha sana.


1. Imenifanya niwe informed na miradi inayoendelea Nchi yangu ya Tz na jirani Kenya.

2. Kufahamu maeneo ya Kenya nje ya Nairobi.

3. Takwimu mbalimbali.



Na mengineyo.


Thanks wakuu.
 
Back
Top Bottom