OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,587
- 11,627
Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona.
Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars) na kilichotokea ni hicho hicho.
Mechi ya SINGIDA BLACK STARS vs YANGA ingechezwa Singida Liti basi uwanja mzima wangejaa mashabiki wa Yanga kuliko Singida hii inafahamika nchi nzima timu za kariakoo zinamatawi na mashabiki lukuki.
Faida ingekuwa upande wa Yanga na si SBS
Kuipereka mechi Zanzibar ni kuweka mazingira neutral mechi haitakuwa na mashabiki kabisaa na hii itawapa faida Singida maana wao wanachotaka ni point moja au tatu.
Ninauhakika hata Simba ataperekwa Zanzibar
Zanzibar ni machinjioni kule uwanja huwa haujai nadhani mnakumbuka mashindano ya ngao ya jamii uwqnja ulikuwa mweupe
Msimtukane mastermind mpongezeni aeamu hii kajipanga hataki utani
Nawasilisha