Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Ukisoma kashfa na kuangalia picha unaweza kushangaa ujasiri unatoka wapi wa kufisidi kiasi kile ikiwa ana roho kama sisi za kujali watoto.
 
Dah umenichekesha sana
Siku anaona kudume kimeleta posa duh ........
knowing kabisa kwamba sasa mwanao anapigwa katelelo.......
Nyambafu kabisa nitakutoa na rungu la mzee hahahahaha

kwanza nitaanza kuzipiga chini hizo nywele zinazosukwa na baba mkwe.
nikienda na wife ukweni mzee anamuona binti yake ana bonge la upara.
 
Safi sana. yupo sahihi kabisa. Ni watu wachache tu wanaofikiria viongozi au watu maarufu hawana Muda na familia zao na kufanya shughuri za kijamii nje ya siasa.
 
Hii kawaida sana, hata sisi watoto wa kiume wa enzi zile tulikuwa tunafanya kazi ya kufumua nywele kwenye vichwa vya mama zetu.
Ukirudi tu shule mama anakukabidhi chanuo, teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…