NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
Natoa kongolee kwa Mh Raisi Samia Suluhu Hasani kwa kuonesha nia thabiti ya mapambano ya madawa ya kulevya yenye lengo la kuokoa Taifa la kesho.
NALIA NGWENA nimeguswa mno na hili Jambo la madawa ya kulevya haswa ninapoona watoto wadogo/vijana wanatembea mithiri ya mazombi hakika hakuna Tena nguvu na matumaini ya kulipambania Taifa lao kwa nguvu na kukuza uchumi wa nchi.
Serikali ijikite zaidi kwenye mitaa kwa kuwagusa wajumbe na wenyeviti wa serikali za mitaa Hawa watu ni muhimu sana wanajua kila kitu kinachoendelea mtaani wanawajua wauza madawa na Kuna wajumbe/wenyeviti wengine huwaficha Hawa mapusha (wauza madawa) kwa kua anajua Yule ni mtoto wa fulani nikitoa taarifa ndugu zake watanionaje ndivyo ilivyo kwa majambazi au watu waharifu wanaotafutwa na serikali Ila unakuta mitaa inawafucha.
Hivyo basi Kama serikali itadeal /ikaunda mbinu mbadala namna ya kuwatumia wajumbe wa nyumba kumi au wenyeviti wa serikali za mitaa itasaidia kiasi kikubwa kutokomeza madawa ya kulevya mtaani maana wanouza madawa ya kulevya ni watu na tunaishi nao mtaani.
Kupitia Polisi wenye wekedi na kazi wasiochukua rushwa Nina Imani kabisa endapo wajumbe wa nyumba kumi (mabalozi) na wenye viti wakipeleka taarifa thabiti na Polisi wakazichakata na kuzifanyia kazi Basi NALIA NGWENA Nina Imani kubwa serikali itafanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kampeni ya madawa ya kulevya.
Nina matumaini makubwa mno na nitafurahi sana kuona wazo hili/ushauri huu kufanyiwa kazi kwani utafanya kazi na kuleta positive impact kwa asilimia 95%.
Nawasilisha hoja.