Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,685
- 1,235
Wako wapi
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SEKTA BINAFSI NUNUENI NDEGE MZILETE TANZANIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha usafiri wa anga hapa Nchini.
Mhe. David Kihenzile ametoa kauli hiyo Jijini Tanga July 30,2024 mara baada ya kutembelea kiwanda cha ndege cha Tanga ambacho ni miongoni mwa viwanja vinavyofanyiwa maboresho.
“Ombi letu kama Serikali tunawaomba Sekta binafsi watusaidie kuja kuingia kuwekeza katika Sekta ya anga, nunueni ndege za kutosha kwasababu Air Tanzania peke yake haiwezi kununua ndege kwenye viwanja vyote vilivyopo Nchini” - Mhe. David Kihenzile
Mhe. David Kihenzile Amesema ukarabati na ujenzi wa viwanja vya ndege unaoendelea hapa Nchini utakapokamilika utaongeza idadi ya Wasafiri kwenye Sekta ya anga.
Jiwe ndiye aliyeharibu uchumi wa hii nchi,Kwani wamesahau Jiwe alivyowafanya?
One step forward, two steps back.
Alichokifanya Jiwe kuiua FastJet ilikuwa dhambi kubwa sana.. Angalau Community Airline ilishindwa yenyewe wakati wa JK.Jiwe ndiye aliyeharibu uchumi wa hii nchi,
JESUS IS LORD&SAVIOR
Ili wazifanye kama Fastjet🤣🤣🤣
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SEKTA BINAFSI NUNUENI NDEGE MZILETE TANZANIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha usafiri wa anga hapa Nchini.
Mhe. David Kihenzile ametoa kauli hiyo Jijini Tanga July 30,2024 mara baada ya kutembelea kiwanda cha ndege cha Tanga ambacho ni miongoni mwa viwanja vinavyofanyiwa maboresho.
“Ombi letu kama Serikali tunawaomba Sekta binafsi watusaidie kuja kuingia kuwekeza katika Sekta ya anga, nunueni ndege za kutosha kwasababu Air Tanzania peke yake haiwezi kununua ndege kwenye viwanja vyote vilivyopo Nchini” - Mhe. David Kihenzile
Mhe. David Kihenzile Amesema ukarabati na ujenzi wa viwanja vya ndege unaoendelea hapa Nchini utakapokamilika utaongeza idadi ya Wasafiri kwenye Sekta ya anga.
Kasahau ya fastjetKwani wamesahau Jiwe alivyowafanya?
One step forward, two steps back.
Wanajitoa akili tu hawa watu. Siamini kwamba wamesahau mapema hivi.Kasahau ya fastjet
Plan was kuinua air tanzania, but air tanzania ilikuwa haijasimama, and bado inajikokotaAlichokifanya Jiwe kuiua FastJet ilikuwa dhambi kubwa sana.. Angalau Community Airline ilishindwa yenyewe wakati wa JK.
Jiwe Rais wa wajinga 😂😂Kwani wamesahau Jiwe alivyowafanya?
One step forward, two steps back.
Walichomfanyia FASTJET na Precisionair (precision kwenye safari za Kigoma) hakuna mtu atataka kuja tena.
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SEKTA BINAFSI NUNUENI NDEGE MZILETE TANZANIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha usafiri wa anga hapa Nchini.
Mhe. David Kihenzile ametoa kauli hiyo Jijini Tanga July 30,2024 mara baada ya kutembelea kiwanda cha ndege cha Tanga ambacho ni miongoni mwa viwanja vinavyofanyiwa maboresho.
“Ombi letu kama Serikali tunawaomba Sekta binafsi watusaidie kuja kuingia kuwekeza katika Sekta ya anga, nunueni ndege za kutosha kwasababu Air Tanzania peke yake haiwezi kununua ndege kwenye viwanja vyote vilivyopo Nchini” - Mhe. David Kihenzile
Mhe. David Kihenzile Amesema ukarabati na ujenzi wa viwanja vya ndege unaoendelea hapa Nchini utakapokamilika utaongeza idadi ya Wasafiri kwenye Sekta ya anga.
Ile ilikuwa ni ubinafsi na roho mbaya iliyopitiliza. Kiongozi unajua hali ya uchumi wa unaowaongoza, unaenda kuua huduma ambayo walau wengi walikuwa wanaimudu. Sasa hivi wengi kupanda hizo ndege ni ndoto tu, angeacha washindane kama kweli nia ni kusaidia sekta ya usafiri wa anga.Plan was kuinua air tanzania, but air tanzania ilikuwa haijasimama, and bado inajikokota
Hapo kwenye bold you can't be serious.. hizo ndege mtapanda wenyewe. Lbda kama umemanisha kiwanja cha ndegeMhe. David Kihenzile ametoa kauli hiyo Jijini Tanga July 30,2024 mara baada ya kutembelea kiwanda cha ndege cha Tanga ambacho ni miongoni mwa viwanja vinavyofanyiwa maboresho.
As before probably alikuwa na plan nzuri but hakuwa na washauri wazuri, matokeo yake ikaua biashara and probably ajira, lack of vision na proper planning bado ni tatizo kwa nchi yetuIle ilikuwa ni ubinafsi na roho mbaya iliyopitiliza. Kiongozi unajua hali ya uchumi wa unaowaongoza, unaenda kuua huduma ambayo walau wengi walikuwa wanaimudu. Sasa hivi wengi kupanda hizo ndege ni ndoto tu, angeacha washindane kama kweli nia ni kusaidia sekta ya usafiri wa anga.
Sina uhakika kama FastJet wataweza kurudi, au kama tutaweza tena kuvutia wawekezaji toka nje watakaotoa huduma kwa gharama ya chini zaidi ya ATCL. Hilo hawatokubali kwani itakuwa ni kuichimbia kaburi ATCL, na mabilioni yetu kuwa yameyeyuka.As before probably alikuwa na plan nzuri but hakuwa na washauri wazuri, matokeo yake ikaua biashara and probably ajira, lack of vision na proper planning bado ni tatizo kwa nchi yetu
Once ukishamsumbua mwekezaji hawezi rudi kabisa.Sina uhakika kama FastJet wataweza kurudi, au kama tutaweza tena kuvutia wawekezaji toka nje watakaotoa huduma kwa gharama ya chini zaidi ya ATCL. Hilo hawatokubali kwani itakuwa ni kuichimbia kaburi ATCL, na mabilioni yetu kuwa yameyeyuka.