ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,351
- 50,667
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000 na mimi 10000 ikitiki Mara ya kwanza tunagawa ile faida ya 40000 sawa kwa sawa na kesho tena tunatupia ile 20000 kianzio chetu.
Tukikosa siku hiyo tunatulia ila kesho tuna upgrade stake yeye aweke 20000 na Mimi niweke 20000 option ni ile ile team moja moja za GG Means kwamba 40000 yetu Mara odds 3 tutapata 120000 tutagawana 100000 na kesho yake tutaweka tena stake ya 20000.
Day 1-20,000 x3=60000
Day 2-40,000 X 3=120,000
Day 3-80,000 x 3=240,000
Ila kila tutapokuwa tunakula basi tu narudi kwenye mtaji wetu wa mwanzo wa 20000 ili tusiumie sana.
NB:lengo la kutafuta partner ni ili kupunguza Maumivu endapo tutaliwa ili tupeane moyo tusikate tamaa.
Stake tutaachiana zamu kuweka leo kwako kesho kwangu hivohivo kama kuna swali nakaribisha.Na kama mtu anataka tufanye Demo ya 1000 tufanye naye ili aone kama ni kweli inalipa