Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

Kongowe jioni panachangamka sana pako kama mbande, unaweza kuuza kuku jioni unakaanga unauza mapande kidali, paja, miguu, firigisi, utumbo ukiweza kuweka na tuviazi kidogo kichangamsha meza, be local unajua wabongo wakiona sehemu imepambwa sana wanaogopa kuja, hapo unatafuta meza na mwavuli tu huna haja ya fremu
 
1. Uza nyama zakuku
Tafuta place unakaanga nakuuza hapo muda wamjini
2. Fungua genge ndogo lanyanya, mboga zamajan, vitunguu mahitaji youpishi
3. Kua winga waviatu nabaadhi tango zake
4. Nunua mashine yabisi uanze kuuza utachanganya naubuyu mdogo mdogo but eneo liliochangamka
5.....Wazo lako ndio litakua bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…