Kama upo Dar nenda Kariakoo jengo la Simba utaambaa nalo ukilimaliza kuna njia imeingia kushoto ina ngazi na tiles (utakua kama unalizunguka jengo).
Ukiimaliza hiyo njia utakuta maduka mengi yanauza hivyo vitu, kwa 50,000 utapata sub woofer mpya. Ina nguvu lakini ni version ndogo za kubwa ya sub woofer husika.
NB. Nilikua nanunua kabla kodi hazijapandishwa sijajua kama bei zimebadilika.