Nahitaji Toyota Noah

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,963
1,617
Habari
Nahitaji gari iwe, Toyota Noah old model.

-Gia fupi
-Automatic transmission
-Iwe katika hali nzuri
-Isiwe imeshawahi pata ajali wala kufunguliwa engine.
-Pia iwe zanzibar ambako nilipo.

Mawasiliano Yangu.
0716 403314
0625 882454
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ila kwa msaada zaidi ingia Facebook tafuta page anaitwa NJOO TUKUAGIZIEA GARI, au kwa magari used mtafute Facebook MTU anaitwa KUDDO FISH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom