Nahitaji shamba au Kiwanja

dlnobby

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
2,514
3,347
Wakuu heshima kwenu...
Nahitaji shamba au hata kama mtu anakiwanja kwa kiasi kisichozidi 1MIL...
Shamba liwepo maeneo ya DSM,au pwani
 
Wakuu heshima kwenu...
Nahitaji shamba au hata kama mtu anakiwanja kwa kiasi kisichozidi 1MIL...
Shamba liwepo maeneo ya DSM,au pwani
Kimanzinchan lipo,unapata.
linafaaa kwa kilimo,ufugaji
 
Wakuu heshima kwenu...
Nahitaji shamba au hata kama mtu anakiwanja kwa kiasi kisichozidi 1MIL...
Shamba liwepo maeneo ya DSM,au pwani
Usiwe mnyonge na milioni yako njoo Mkuranga nitakuonyesha mashamba ya hiyo pesa.Unaweza kupata hekari moja au mbili kulingana na sehemu lilipo.Utapatana na mwenye mali na hakuna udalali.
 
Nami natafuta kiwanja kiwe na ukubwa ufuatao. Upana usipungue mita 20 na urefu usipungue mita 30 na kisiwe ktk korongo wala mwinuko mkali, eneo la Kimara tu. Kutoka barabara kuu umbali usizidi kilomita 3. Bajeti yangu milioni 15. Call 0754747339
 
Usiwe mnyonge na milioni yako njoo Mkuranga nitakuonyesha mashamba ya hiyo pesa.Unaweza kupata hekari moja au mbili kulingana na sehemu lilipo.Utapatana na mwenye mali na hakuna udalali.
Sante sana mkuu...ni PM namba yako tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…