Nahitaji sehemu ya kupika chakula (jiko)

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
18,682
45,552
Habari za muda huu wakuu wenzangu,

Poleni na hongereni kwa majukumu,

Nilikuwa na shida na sehemu ya kufanyia biashara ya chakula(jiko) kwa maeneo ya Dar, kwa yeyote mwenye kujua mahali pazuri ambapo biashara hii itakuwa nzuri na itafanyika anijuze tafadhali.

PM yangu iko open ila ushauri, mapendekezo nayapokea hapahapa Jamvini.

Karibuni!

Mumu.
 
Back
Top Bottom