Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

Tripp

JF-Expert Member
Feb 2, 2018
898
1,544
Habari.

Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana.

Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo wangu wa kulea.

Karibu tujenge maisha yetu.
 
Habari mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu miaka 33 dini mkristo kkkt, naishi dar es salaam nimejiajiri nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana....vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38 awe tayari kwa maisha ya ndoa kama ana mtoto asizidi mmoja ndio uwezo wangu wa kulea...karibu tujenge maisha yetu
Hizi ni nyege zinaongea...yaani tangazo uweke saa kumi alfajiri
 
Hata mm unaninunia boss wangu mrembo wa pekee tajir wa jf binti mstaraabu mpenda dini jf nzima hakuna mzur kama ww binti mwenye sauti nzuri kama ya yesu kweli
๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž Nimenunaaaaaa!! Haiwezekani unitupie walioshindikanaaaa umenichokaaa kiasi hiki ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ usinisemeshee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom