Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
892
561
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano 0774 205159. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom