mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Nilishakuwa kwenye mahusiano. Na ndo mana nikaweka hivyo sihitaji sex kabla ya ndoa. Atakae kuwa tayari atakubaliana NamiInamaana hujawahi kuduu hata mara moja mpaka hutaki kukata kiu kabla ya ndoa?
Mashukuru siwahitajiwenye 35 hadi 40 wameshaoa tumebaki vijana tu wa 25 hadi 30 tupe nafasi tafadhali.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
..Sichagui dini.. ..
Asante kwa kejeli zako.Yani wengine umewapa wamekula weee hawajaoa halaf ambae anataka kuoa ndio anaambiwa asubiri....hehehehehe
Miaka 28 jua limekaribia magharibi....ww unayo kazi halali?!
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
NashukuruNingekushauri uchague dini, maana hilo sharti ni gumu bila dini kuhusishwa!
Asante kwa kejeli zako.
mwanaume kwa mwanamke anataka tendo la ndoa. sasa ww hutaki kuliwa veepee? Toa mambo hayo atakayenogewa atawowa au hujiamini?Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
wengi tu, wana mademu ila hawajawawowa au wame divorce na kwa sasa wapo single.Hivi Kuna mweny 35 hadi 40 bado yuko single? Labda awe mgane
Amenkila lakheri
Bora nizeekee kwetuKajipange upya hamna mwanaume wa kuoa mtu wa miaka 28 bila kufanya nae tendo la ndoa utazeekea kwenu
Na kweli ndg ametusahau kabsa kaka angu ana 35 anawatoto 6 nmebaki mm tuwenye 35 hadi 40 wameshaoa tumebaki vijana tu wa 25 hadi 30 tupe nafasi tafadhali.